Kwa mtoto aliye ndani kauli ya " toka nje ndio ipo sahihi na ipo direct zaidi, kusema "toka ndani" inakuwa kama haijakamilika na inahitaji utambuzi ziadi wa anaye ambiwa Toka ndani"
"Toka ndani" inakamilika kama ikisemwa toka ndani umo, Ama iwe.. Toka ndani uje uku nje. Au kama ikisemwa kavukavu "Toka ndani" basi aliyeambia awe na utambuzi kuwa anatoka ndaniku kwenda nje.
Kwaiyo, TOKA NJE ndio ipo sahihi zaidi kuliko TOKA NDANI.