Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,381
- 27,841
Kuna clip moja nimeliona na umenipa matumaini kumbe kwenye taifa hili lenye wanawake walio oza kimaadili bado wapo(bado yupo, maana ni one in a thousand)
Kila siku nimekuwa mstari wa Mbele katika kuwaeleza wanawake umuhimu wa kujitegemea nikiwaambia kujiuza na kubadilisha miili yenu iwe sex business nikujimaliza na kujiuwa nyie wenyewe, both kimwili na kiroho.
Ila manamake majinga na yasiyo na uelewa yananijia juu, eti nayasema vibaya, na kuyafatilia maisha yao. Hivi mnajitathmini kweli nyie wanawake? Unapojiuza na kuwa mtu wa kupewa pewa unajidumaza na unakaribisha umaskini.
Huwezi kupata mtu mwenye hela kama wewe mwenyewe huna foundation ya hela, mtaishiwa kupigwa miti na Mafanikio mtayasikia kwa wanawake wenye akili tu.
Wanawake acheni kuji shusha thamani yenu kwa ajili ya vi elf 20 vya kula, hata kuendesha maisha yenu hamwezi, fanyeni kazi nyie wenyewe mmesema mnaweza na mmepewa uhuru wa kufanya kazi sawa na wanaume, mbona wachache tu ndo wanafanya? Mbona wachache wanajua hakuna thamani kwenye kuuza miili yao?
Hata hivyo mwenye risk kubwa sana ya kupoteza ni wanawake wenyewe sisi wanaume ni kuzichakata tu, tunafunga magoli na kwenda kushangilia mbali.