Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
919
Reaction score
794
Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia asilimia 94.3 ya utekelezaji, na unatarajiwa kunufaisha zaidi ya wakazi 59,983, kwa kuzalisha lita milioni 5.5 za maji kwa siku kutoka Mto Mavuji.

IMG-20260930-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom