Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,072
- 27,318
Katika kuishi kwangu na jamii za wamatumbi nimekuja kugundua wamatumbi wengi huwa wanaojifanya sana wako bold!
Ni sawa kuwa hivyo katika muktadha wa kutoa kuwa lelemama, ila Kuna time watu wanabena weakness na kujificha katika ukali na matumizi ya lugha chafu hasa kwa namna ya kujilinda.
Mfano, mtu anaweza akapitia changamoto ya kutemwa na demu wake, then akapitiliza bar, kwenda kuopoa malaya, ili maumivu yote akampelekee moto huyo stripper
Mtu mwingine anaweza kuchukiza boss wake kazini then alifika home familia nzima haikai kucheka siku hiyo, yaani watajua tu kazini huko kime Waka.
Lakini pia kuna hii tabia ya watu wazima kujifanya hawawi affected na jambo gumu mfano mtu hataki kushiriki Sha watu hasa wa karibu kilicho msibu kwa namna inayo weza kumfanya a process na kuachilia pain. Yeye anakuja kuanza kutoa regrets na kutumia hiyo fursa kusema mabaya ya watu wengine in the context aonekane yeye hana shida yoyote.
Hii ni weakness, na watu wenye kushindwa maisha hupenda kutumia kutafta justification ya madhaifu yao, au kupata closure na comfort kwa watu wasiojua dark side yao.
Wazazi wengi sana wakimatumbi hawawi mifano bora kwa watoto wao kwasababu wanaishi maisha ya kuigiza.
Wamatumbi wengi sana ni maskini. Sio wa pesa tu, bali hawana inner richness ya kufanya jamii istawi ndo maana umaskini na ujinga ndio vitu vilivyo tawala nchi za kimatumbi.
Kwa mfano utasikia mama samia ni muuaji ila wao kwa wao ndani ya familia wanawishiana maaunguko na kurogana wasifanikiwe. Then how do you expect to love and care for a stranger if you you wish death on your own flesh and blood?