Yule ni Tetere au njiwa
Ila kumbuka kumtangaza afisa kipenyo ni kosa kisheria 😀😀😀😀😀😀
Hii ni Sheria yao iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2023.
Itakuwa nimekosea kuandika, ngoja nofute
kuna dhoruba mbele kumbuka kabla ya october hasira za jamii zilipandishwa namna hii hii ghafla wote tunawaza kwa umoja tunareact sawa...
ni michezo tu bahati mbaya tupo busy kuona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.