Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote.
Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga...
When people move to a country to work and earn, it reflects where economic opportunities are emerging. Tanzania’s rising contribution to Kenya’s remittance inflows shows the growing role of its...
Dudu baya hajamdhalilisha mtu hata mmoja.maana anaowataja wana dalili zote za ushoga.kwa hiyo ni wao ndio wanajidhalilisha kwa kuenenenda kinyume na utamaduni,mila,desturi,dini na utashi wa...
“Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na...
Dhana au mkanganyiko wa kwamba Makka inalindwa au inahusiana na majini mara nyingi unatokana na uwepo wa Masjid al-Jinn (Msikiti wa Majini) uliopo mjini Makka.
Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn...
Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah.
Mzee wangu alienda mwaka Jana kufanya hijja , nilimuuliza akasema huo MSIKITI ni kweli una matukio na VITUKO vya...
Mwenzenu ni kijana miaka 28 mwenye mke na mtoto mmoja... Nimekua nikifanya biashara ya mpesa Kwa miaka takribani 15 tangu nikiwa nyumbani hata baada ya kutoka nyumbani niliendelea kufanya biashara...
Mimi binafsi sifurahishwi kabisa na tabia inayojitokeza katika baadhi ya shule za msingi ambapo mtoto anatakiwa kwenda kila siku na shilingi 1000 kwa ajili ya chakula, na endapo akikosa hela hiyo...
Maisha ya Mtanzania yana thamani gani?
Ni swali najiuliza kila siku linapokuja maswala ya majanga hapa nchini ya maji, moto, ajali za barabarani na mengineyo.
Ajali ya ghorofa kaiakoo, ilichukua...
Mke wangu amekuwa akihudhuria kliniki ya ujauzito katika Kituo cha Afya Kinyerezi. Kila anapokwenda kwa ajili ya huduma za kliniki, amekuwa akitozwa Shilingi 6,000 bila kupewa maelezo ya wazi...
Ni vyema sasa wanaofuga haya majini na wanaonamini ama waliofunfishwa kuwa kuna majini mazuri na mema kwa binadamu,wakayaorodhesha hapa wakayataja kabisa majina Yao ili tuyafahamu,na ikiwapendeza...
Wakulima wa Mahindi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamesema kutokana na kukabiliwa na hatari ya kupata hasara kutokana na kukosekana kwa maghala ya kuhifadhi mahindi wanaiomba Serikali kuchukua...
▪︎ EU kuwekeza Euro milioni 50 kusaidia kutokomeza sotoka barani Afrika
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani...
Crystal ni sokwe jike wa aina ya "Tufted Capuchin" mwenye umri wa miaka 31, aliyezaliwa California mwaka wa 1994. Amekuwa mwigizaji mahiri wa Hollywood tangu mwaka wa 1997 na ameonekana kwenye...
Tanzania imeongeza kasi ya utekelezaji na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo kupitia e-Delivery, mfumo wa kidigitali ulioanza kutumika Julai 1, 2026 kwa ajili ya kusimamia, kufuatilia na...
Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.
Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.
Tumuombee...
Tanzania imetangaza rasmi azma yake ya kugombea kiti kisicho cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa kipindi cha mwaka 2029–2030, huku ikiahidi kuendeleza mchango wake...
Tanzania imetangaza azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030.
Akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Kuna watu wanaweza kuzungumza na kutangaza mambo kuhusu maisha yako wakidhani wanakuchafua, kumbe Mungu anaweza kutumia hayo hayo kukuinua na kugeuza kila walichokisema kuwa ushuhuda wako. Usihofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.