Mister mimi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 350
- 635
Dudu baya hajamdhalilisha mtu hata mmoja.maana anaowataja wana dalili zote za ushoga.kwa hiyo ni wao ndio wanajidhalilisha kwa kuenenenda kinyume na utamaduni,mila,desturi,dini na utashi wa kawaida wa kibinadamu.
Dalili hizi zinatosha kabisa kumtambua mwanaume anayejihusisha na ushoga.
●Mwanaume kuvaa hereni,
●Mwanaume anatoboa pua na masikio.
●Mwanaume anatembea makalio yako nje.
●Mwanaume ana-miss kabisa kula chips.
●Mwanaume kazi yake ni kusifia tu wanaume wenzie ili apate pesa.
●Mwanaume unavaa madera.
●Mwanaume kabisa unamchukia Dudu baya kwenye hii kampeni yake tukufu ya YBWYB.
Maana baada ya kumuonya anayetenda uovu na kumpima akili,anaonywa anayekemea uovu.
Viongozi wa dini zote wapo kimya kwenye kukemea maovu,wapo zao bize bize na siasa na miujiza feki.
Maana kila ugonjwa una dalili zake.na mashoga wanajulika tu kwa dalili zao.wala hakuhitajiki ushahidi wa kuliwa live.
Kama wewe ni mwanaume kwa nini uache tabia za asili za kiume na ujipambe kwa tabia za kike kwa kisingizio cha sanaa na pesa?
Kwanini umchukie mtu anayepinga ushoga badala ya kumuunga mkono?
Dudu baya ana mapungufu yake ila kwa hili yupo sahihi 100%
Kweli hali ni mbaya. Ripoti ya mwakyembe ilishasema.