Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es...
2 Reactions
6 Replies
354 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari kesho, Septemba 24, 2026, Jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa...
2 Reactions
16 Replies
302 Views
Tumechoka jamani, imefika muda sasa tupumzishwe, kila siku tunapigiwa simu, tupo katikati ya majukumu ya kazi tunasitisha kupokea simu, mtu anajitambulisha oooh sijui Barclays, sijui Fanikiwa...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu. Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Hili kwangu sio suala la mashaka tena. Nimejaribu mwenyewe na kuthibitisha kwamba AI inaweza kutengeneza picha ya mkeka ambao haujawahi kuwepo, lakini ukaonekana kama mkeka halisi. Nimeipa AI...
2 Reactions
8 Replies
186 Views
Over expectations ndio sumu ya kisasa. Unajitarajia maisha yawe hivi, mtu akupende hivi, pesa ije hivi - ikitokea tofauti, mwili wako ndio unateseka. Stress, usingizi kupotea, presha. Mimi huwa...
2 Reactions
1 Replies
50 Views
Nimejaribu kufanya kautafiti kangu hivi , ni kwamba kaskazini Hususani Arusha na Kilimanjaro ni kama ma tom Boy ni wengi. Sababu inaweza kuwa nini kwa hii Hali?
5 Reactions
6 Replies
148 Views
  • Redirect
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb), anatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari kesho, Tarehe 24 Septemba, 2026, kuanzia saa 4:00 asubuhi katika...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limeanza uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa watu sita, wakiwemo askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Walinzi wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na...
8 Reactions
42 Replies
840 Views
Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
3 Reactions
54 Replies
936 Views
Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa kadi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhakikisha watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza pia kusajiliwa rasmi...
3 Reactions
10 Replies
176 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha likishirikiana na wananchi limewakamata vijana wanne wanaotuhumiwa kujihusisha na matendo ya wizi. Watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mchana wa leo katika Kijiji cha...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Watu wanaaga mwili wa marehemu wewe unawapiga picha,watu wanalia wewe unawarekod,mwili au jeneza linawekwa kabulini watu mnagombania kupiga picha au kurekod je mkirudigi majumbani mnawaonesha...
5 Reactions
7 Replies
138 Views
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiagana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya CAM SARL, Bouzid Belhad, ambayo hutengeneza mashine za kusindika na kufungasha dawa na mazao...
1 Reactions
1 Replies
122 Views
Wana-JamiiForums, Leo nimeona niguse mabadiliko makubwa yanayoendelea katikati ya jiji la Dar es Salaam (CBD), hususan katika eneo maarufu la Posta linalojumuisha Kata za Kivukoni (Posta ya...
1 Reactions
5 Replies
269 Views
Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Kamati ya Siasa Wilaya ya Mbeya imedai Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya UWSA) inatoa huduma chini ya kiwango kwa wateja na kwamba wanaweka kipaumbele katika mambo mengine...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Wahusika Jimama moja nene hivi zurizuri na kijana mwembamba mrefu. Muda: kipindi cha taarifa ya habari. Nini tafsiri yake?
0 Reactions
5 Replies
77 Views
Back
Top Bottom