Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,092
- 866
“Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo.
Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti, badala ya kusubiri milipuko ya magonjwa itokee ndipo tuchukue hatua.
Uzoefu huu pia una ujumbe muhimu kwa ngazi ya kikanda, kwa kuwa Tanzania iko katika eneo muhimu linalounganisha Nchi zilizo Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini.”
🗓️Septemba 23, 2026
📍FAO-ROME, ITALY