Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
3 Reactions
1 Replies
75 Views
🌿 UJUMBE WA LEO JIONI R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST 🌱 “Usijilaumu sana kwa sababu ya makosa ya jana.” Kila mwanadamu hukosea, hupitia changamoto na wakati mwingine hufanya maamuzi...
4 Reactions
4 Replies
90 Views
Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Kwenye masomo ya ulinzi na usalama wanafundisha kuwa hata Matahira wanaweza kutoa accurate informations. Dudubaya ni tahira kama Matahira wengine bila kujali anatoa habari za kweli au za kubumba
1 Reactions
7 Replies
103 Views
Bohari ya Dawa (MSD) imeingiza nchini shehena ya kwanza ya Naltrexone, dawa inayotumika katika matibabu ya uraibu wa pombe, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma kwa watu wenye tatizo...
1 Reactions
8 Replies
237 Views
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya...
18 Reactions
227 Replies
2K Views
chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau...
3 Reactions
49 Replies
723 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Anonymous
Taasisi za Serikali, hasa TANAPA, zinapaswa kuboresha uwajibikaji katika malipo ya watu wanaowafanyia kazi. Inasikitisha kuona mtu anafanya kazi na TANAPA kwa miaka 4–5, lakini anastaafu bila...
1 Reactions
1 Replies
66 Views
Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi...
2 Reactions
12 Replies
203 Views
Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio...
4 Reactions
19 Replies
381 Views
‎Wadau naomba kuuliza swali, hivi kitambulisho Cha NIDA kinachukua muda gani mpaka kutoka maana tangu 2019 nilipojiandikisha nimefuatilia kukipata naambiwa niendelee kusubiri hakijatoka ‎Soma pia...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Waandishi wa Habari wanazingatia press tu maana huko kuna maoko tu, huku kwingine hakuwahusu kabisa. Ila tusiwalaumu sana , wanamengi wanapitia ============ Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es...
2 Reactions
6 Replies
354 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari kesho, Septemba 24, 2026, Jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa...
2 Reactions
16 Replies
302 Views
Tumechoka jamani, imefika muda sasa tupumzishwe, kila siku tunapigiwa simu, tupo katikati ya majukumu ya kazi tunasitisha kupokea simu, mtu anajitambulisha oooh sijui Barclays, sijui Fanikiwa...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Back
Top Bottom