Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa. Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au...
6 Reactions
35 Replies
775 Views
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM – Vodacom M-Pesa Tanzania imetangaza ushirikiano mpya na PayPal utakaowezesha wateja kufanya miamala kwa urahisi kati ya akaunti zao za PayPal na pochi za M-Pesa...
2 Reactions
4 Replies
322 Views
👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria. Hatua...
0 Reactions
3 Replies
202 Views
Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂 Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂 Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu...
0 Reactions
2 Replies
59 Views
Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye...
3 Reactions
10 Replies
106 Views
Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi. Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana...
6 Reactions
94 Replies
756 Views
Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini. Polisi wanavunja...
19 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari Wadau Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi. Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya...
0 Reactions
3 Replies
178 Views
Wakuu habari za muda huu. Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal...
8 Reactions
23 Replies
973 Views
  • Closed
Asalaam alyekum, Wapendwa mnaye muona hapo juu amepotea tangu jana majira ya asubuhi akitokea kibaha kwenda Kimara. Mama yetu kipenzi haongei na hasikii ukimpata mpe kalamu anaweza kuandika...
3 Reactions
1 Replies
91 Views
Kwanza kabisa mm cna uwezo wa kumditermine mtu anaenizidi elimu ,pesa na umri pia cjawhi lakini kwa Leo naomba niwapinge kwa hoja zangu dhaifu Baadhi ya media na baadhi ya wasomi cjapendezwa na...
3 Reactions
0 Replies
42 Views
JESHI LA POLISI LAFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO LA KIJANA ALIYEFUNGWA PINGU SIKU TATU Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limeona picha mjongeo inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
Wakuu niliwahi kuona taarifa ya katibu mkuu TAMISEMI na katibu mkuu utumishi, Juma Mkomi ila sikuielewa vizuri alisema vibali vya uhamisho kila QUARTER sasa siajelewa hiyo QUARTER anayoizungumzia...
1 Reactions
5 Replies
329 Views
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA: DARASA LA TANO MWAKA HUU KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2027 Kwa mujibu wa taarifa ya Baraza la Mitihani la Tanzania, wanafunzi waliopo Darasa la Tano mwaka huu...
4 Reactions
76 Replies
1K Views
👉 Umoja wa Mataifa (UN) ulianzishwa mwaka 1945, baada ya dunia kupitia madhara makubwa ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. 👉 Lengo kuu lilikuwa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. 👉...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji...
4 Reactions
6 Replies
129 Views
Back
Top Bottom