Vibali vya uhamisho

Vibali vya uhamisho

SHAZ96

Member
Joined
May 22, 2022
Posts
60
Reaction score
94
Wakuu niliwahi kuona taarifa ya katibu mkuu TAMISEMI na katibu mkuu utumishi, Juma Mkomi ila sikuielewa vizuri alisema vibali vya uhamisho kila QUARTER sasa siajelewa hiyo QUARTER anayoizungumzia ni zipi naomba ufafanuzi mkuu.
 
Mkuu, kwani ulifeli hesabu za darasa la tano? Quarter ni robo mwaka, yaani kila miezi mitatu!
 
Back
Top Bottom