Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi;
Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi!
Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa;
1. Wenyeviti wa mitaa
2...
Kama ilivyo ushoga, hakuna haki ya moja kwa moja ya uzinzi kwenye sheria yoyote. Hakuna sheria inayosema moja kwa moja kwamba kuna haki ya kufanya ngono au haki ya kupiga punyeto.
Huwezi kwenda...
Kuna watu au makundi ya watu wakitoa kauli si rahisi kuaminika. Ni watu gani au makundi gani ya watu hawaaminiki KATU?
1. Polisi
2. CCM
3. Bakwata
4. Malasusa
5. ACT ( baadhi excluding Ado...
Tangu nimeanza kumsikia Godfrey Tumaini na kelele zake za ushoga hapa nchini sijawahi kumsikia akitaja au akipambana na shoga yeyote mwanamke.
Sijui ni kwa bahati mbaya au kwa sababu anajua...
Walioko Uarabuni wanasema ni vigumu kwa kijana mweusi kuwa na mahusiano ya mapenzi au kuzaa na binti wa Kiarabu na unaweza kuuwawa kabisa na familia yake wakijua una mahusiano ya mapenzi na binti yao.
Habari wadau,
Nimejaribu kuunganisha CV yangu na vyeti vyangu kuwa PDF moja ili nitume maombi ya kazi. Nimetumia simu tu.
Nimehangaika na tools nyingi online zinanipa watermark au zinanataka...
Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA...
Habari wadau,
Nimejaribu kuunganisha CV yangu na vyeti vyangu kuwa PDF moja ili nitume maombi ya kazi. Nimetumia simu tu.
Nimehangaika na tools nyingi online zinanipa watermark au zinanataka...
Habari za wakati huu wakuu!.
Aisee hatimae na mimi nimefikiwa. Walikuja jamaa watatu kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha(uwakala) kwaajili ya kupata huduma. Wawili walikua wanaweka fedha...
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni...
Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza...
Hili ni wazo la mkuu Kalamu alilitoa tukiwa kwenye mjadala wa mada ya CHADEMA
Alishauri tuweke kwenye kumbukumbu kwa faida ya historia
Mambo ya hovyo, uvunjaji wa sheria na haki za binadamu...
Wanaongeza maushuru kwenye bia kila siku inawabidi watu wa kipato cha chini walowengi wanywe hizo smart gin, visungura jobo vodka na dabo kiki
Hali ni mbaya sana visungura vinamaliza hili taifa...
Kutokana na Dunia kwa sasa soko la cryptocurrency likonwazi mataifa makubwa ya meingia katika hii biashara.
Sasa ni wakati kuwekwa jukwa hapa ili watanzania wafunguke ubongo,kuliko kila mara...
Pombe 🍺
Tumeshaona dawa kibao zikitangazwa za kuachisha mtu ulevi. Wengine wakitumia wanatapika, wanachukia pombe kwa muda, lakini wakirudi kwenye hali zao za kawaida kiu ikibana na hamu ikirudi...
Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake.
Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan.
Nawapa pole wale wote wanaomchukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.