kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Asalaam alyekum, Wapendwa mnaye muona hapo juu amepotea tangu jana majira ya asubuhi akitokea kibaha kwenda Kimara.
Mama yetu kipenzi haongei na hasikii ukimpata mpe kalamu anaweza kuandika jina lake anaitwa Eda Seme.
Tafadhali unapomuona piga namba hii 0784325989/ 0683460400 kwa mawasiliano.