Makonda: Wananchi Mnaichanganya Serikali

Makonda: Wananchi Mnaichanganya Serikali

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,818
Reaction score
9,817
Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂

Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂

Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
 
Back
Top Bottom