Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

👉 Umoja wa Mataifa (UN) ulianzishwa mwaka 1945, baada ya dunia kupitia madhara makubwa ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. 👉 Lengo kuu lilikuwa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. 👉...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Moja ya Runinga yenye watazamaji wengi hapa Tanzania , East Africa na duniani kwa ujumla ni ITV , wazee wa super brand, ila cha kusikitisha baadhi ya vipindi vyake wanaweka watangazaji/mtangazaji...
4 Reactions
6 Replies
129 Views
📌Asisitiza amani kwa kuwaeleza wananchi ya Congo, Burundi ili wakatae wanaohamasisha vurugu. 📌Awaeleza wananchi miradi mikubwa ya maendeleo kwenye maeneo yao. Ujenzi Chuo Kikuu UDSM Tawi la...
1 Reactions
1 Replies
75 Views
Waziri Paul Makonda anazungumza na waandishi wa Habari leo September 24,2026: Nini tutarajie kutoka kwake? https://www.youtube.com/live/NUMYM49QS1A?si=HsYH0Z1nlh-Rgepp
5 Reactions
7 Replies
138 Views
Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu. Kanisa Katoliki linakataza...
2 Reactions
2 Replies
68 Views
Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli...
2 Reactions
0 Replies
47 Views
On my way to job nikajikuta tu napata mawaza haya nikiwa ndani ya dala dala,yes ndani ya daladala Wale wafuatiliaji wa ngumi maarufu Vitasa live,huwa tumeshawahi kushuhudia bondia wetu wa...
4 Reactions
19 Replies
210 Views
Kwanini wanawake wa siku wanaonekana kumpenda,kuendwkeza,kujisifia na kuabudu mambo ya Ngono?
3 Reactions
21 Replies
368 Views
Je mfano UTV,ITV,WASAFI TV,NK ni member wa jf na siku moja wakaposti taarifa moja humu kwenye jukwaa lenu je mtaunganisha uzi?
2 Reactions
3 Replies
56 Views
  • Redirect
Habari za muda huu wakuu. Nimechunguza sana nakuona watu wasio Amin Mungu na hizi dini zetu wamekua wakiona suala la ushoga na usagaji ni jambo la kawaida na ni haki ya mtu. Et ndugu zangu...
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Watu wa bara hasa Wasukuma ndio wanaoongoza kwa kuwehuka na kelele za ushoga. Huwezi kuwakuta watu wa Pwani wakiwa wanaotokwa povu au kushughuliswha sana na haya mambo ya ushoga. Watu wa Pwani...
3 Reactions
– Replies
– Views
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu. 1. Tandika Sokoni, 2. Temeke Sudani, 3. Temeke...
12 Reactions
148 Replies
20K Views
Serikali imejipanga na kujidhatiti kuhakikisha miundombinu ya majisafi na majitaka nchini inaendelea kutoa huduma kwa ufanisi kuelekea msimu wa Mvua zilizotabiriwa za El-nino kwa mujibu wa Mamlaka...
2 Reactions
3 Replies
120 Views
Tunatamani kusoma. Tukishasoma tunaanza kubeza elimu. Tunatamani kupendwa. Tukishapendwa tunawachukulia poa wanaotupenda. Tunaanza kuwapenda wasiotupenda. Tunatafuta kazi. Tukishazipata tunaanza...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
SWALI..JE KUOKOKA KUMPOKEA YESU KUMWAMINI NA KUMTUMIKIA YESU kunakufanya uwe TAJIRI na mafanikio DUNIANI? Hapana, kuokoka hakumaanishi kuwa tajiri wa kifedha au kupata mafanikio ya kimwili...
3 Reactions
19 Replies
156 Views
KWEMA SCHOOLS: Mfumo Kamili wa Kujenga Kizazi Bora cha leo na Kesho kwa Manufaa ya Taifa. Katika ulimwengu wa leo, ambapo elimu bora inahitaji kuunganishwa na huduma za kijamii na kiafya, Kwema...
7 Reactions
31 Replies
536 Views
Habarini za asubuhi wana Jamii Forum Naomba kutangaza Nyumba inauzwa Maeneo ya Fadhili Bucha Kiwanja namba 512 Kitalu C Nyumba ni Mbili kwa Moja (2 in 1) Kila upande zinafanana Sifa ya Nyumba...
1 Reactions
13 Replies
407 Views
Back
Top Bottom