RSM Dominik
Senior Member
- Apr 3, 2026
- 110
- 263
Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu ya kutupia kidogo kidogo kila mwezi mpaka nitakapofikia.
Sasa swali langu wazee, nimedownload app ya DSE na nishajiregester sasa kuna kile kipengele cha cds akaunti nadhani ambacho katika kujaza kinataka nichague broker,swali,nitajuaje kama huyo broker ni mzuri au nitumie njia gani ya kuwasiliana nao kabla ya kumregister kama ndio broker wangu anipe info zaidi?