WanaJamvi muhali gani??
Mwenzenu najiulizaga sana kunani jikoni mara baada ya wazee 27 kusukwasukwa na hata zikaja tetesi kuwa kuna mpya inakuja huko kuna kusukwasukwa na kuchekechwa...
Nawasalimu wana JF
Watu wote duniani, wasio soma na waliosoma; watafiti na wasio watafiti hatujui kabla na baada ya kufa kitu gani kitatokea. Wengine wanakuja na theories za Time travel lengo...
Kuna mzee jirani yetu siku nimeonesha mwanaharakati Mdude ametekwa na video ya ushahidi pia akasema ooh hakuna kitu kama hicho huyo mdude ni kijana mdogo sana hawezi kutekwa ni chadema tu...
Kuna jambo moja ambalo jamii nyingi tunapenda kulizungumzia kwa kificho: dawa za kulevya.
Ukimtazama kijana fulani leo ana simu nzuri, gari, anavaa vizuri na pesa ipo mfukoni, watu wengi huuliza...
■India
■Thailand
■China
■Vatican
■Saudi Arabia
■Jamii zilizomo msitu wa Amazon
Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu...
Hellow wana JF.
Kutokana na sakata linalo endelea hivi sasa la madereva wa Tanzania kugoma kutoa hudumu za usafirishaji. Kutokana na sababu mbalimbali na lawama kubwa kwa Matrafiki wa barabarani...
Mambo ambayo yanahitaji kuangaliwa upya ili kulinda maslahi ya watumishi wa umma.
Kama wewe ni mtumishi au mtu yeyote mwenye kuamini katika mabadiliko chaya soma ujumbe huu kisha sambaza kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kati ya bodaboda 7,000 hadi 8,000 hupata ajali na kufikishwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa ajili ya matibabu.
Amesema...
UMEKUWA UKILIPA KODI MAISHA YAKO YOTE. JE, UNAJUA NANI ALIYEVUMBUA MFUMO HUU NA KWANINI?
Kabla ya kuwepo kwa fedha, benki, serikali, au katiba... tayari kulikuwa na mtu aliyesimama mlangoni...
Halmashauri ya Jiji la Mwanza kushindwa kubadlisha jina la mmiliki wa kiwanja kwenye mfumo, Nilinunua nyumba Mwaka 2024 na kukamilisha taratibu zote za kuhamisha milki Julai, 2024.
Japokuwa...
Mimi ni dereva Bajaji katika Jiji la Dar es Salaam, tunalipia mapato TRA pamoja na kulipia Leseni ya LATRA ambayo inatupa kibali cha kubeba abiria ndani ya Jiji la Dar ila cha kushangaza ni kwamba...
Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema:
Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini!
Ukimuuliza why? hana sababu
Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu
Hivi hili linawezekana vipi...
Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na...
Habari wanajamii,
Nanunua Original Contents (OG) zinazohusu maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana waliotoka vyuoni.
Maudhui ninayohitaji ni pamoja na:
Burudani na maisha ya kila...
Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight 💡.
Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down)...
Serikali ya Awamu ya Sita inatekeleza Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote nchi nzima kuanzia zahanati za vijijini hadi hospitali za kitaifa. Lengo likiwa kuzuia ugonjwa kuwa chanzo cha umaskini...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Ipangalala pembezoni mwa Mto Lumemo wilayani Kilombero mara...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya...
1: Wamiliki wanapaswa kufosiwa kuuza timu maana kwa miaka 9 walitumika katika kufanya utapeli.
2; Kuvuliwa mataji yote walio shinda na kupewa timu zilizo kuwa nyuma yao au kushindana nazo katika...
Hello Wadau,
Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.
Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.