MWALIKO KWA WAANDISHI WA HABARI

MWALIKO KWA WAANDISHI WA HABARI

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
923
Reaction score
794
Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.

Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Karibuni.
 
Attachments

  • 50fb9051-09ba-48fb-873f-8fe9c236ee4b.jpeg
    50fb9051-09ba-48fb-873f-8fe9c236ee4b.jpeg
    151.4 KB · Views: 2
  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.

Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Karibuni.
Source ya hii habari yako ni nani?
 
Back
Top Bottom