Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello Greate Thinker!!! The LORD is good..... ... Familia nyingi hua naona wanapata milo mitatu kwa siku, na hii imeshakuwa kawaida hata kama watu, wamemaliza kupika cha asubuhi saa 4. Ila saa 7...
5 Reactions
37 Replies
296 Views
Habari viongozi wa TAMISEMI, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, Kata ya Mchikichini, Mtaa wa Msimbazi Bondeni, eneo ambalo lipo ndani ya mradi wa Bonde la Mto Msimbazi (Msimbazi Basin Development...
0 Reactions
1 Replies
43 Views
Kampuni zote kubwa za Mitandao ya kijamii na Smartphone zina ofisi za uboreshaji wa teknolojia nchini Israel, wanalipwa kugundua ideas au feautures za kunogesha mitandao ya kijamii na simu. Hata...
2 Reactions
0 Replies
30 Views
Dar es salaam imebarikiwa mito Tunajua Kuna mto mzinga, uliopo kusini mwa Dar es salaam na kaskazini mwa wilaya ya mkuranga. Hivi Kuna mkakati wowote wa kuyavuna maji ya moto huu ili upunguze...
2 Reactions
5 Replies
85 Views
Habari wakuu, Kila mtu ana kile kitu Hata hawezi kuacha kukifanya Yani tabia flani ambayo mtu kila akisema hii ni mara ya mishooo mwisho wa siku Anajikuta haach na akifanya anajisemea mm ni...
1 Reactions
13 Replies
110 Views
Binadamu ndiye kiumbe mwenye ujasiri wa kukusomea kwa sauti ukurasa mmoja wenye ushahidi wa aibu yako hadharani lakini hawezi kabisa kufungua kurasa nyingi zenye fedheha kwenye kitabu chake mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
27 Views
Habari zenu Wakubwa? Moja kwa moja kwenye uzi, Rafiki yangu ametuliza akili na kupiga hesabu ya hela aliyoliwa kwenye KAMARI (aviator na sports) kwa miezi mitatu ni zaidi ya milioni 3 ambayo ni...
13 Reactions
78 Replies
605 Views
Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
3 Reactions
1 Replies
38 Views
🌿 UJUMBE WA LEO JIONI R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST 🌱 “Usijilaumu sana kwa sababu ya makosa ya jana.” Kila mwanadamu hukosea, hupitia changamoto na wakati mwingine hufanya maamuzi...
4 Reactions
4 Replies
58 Views
Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama...
1 Reactions
3 Replies
148 Views
Kwenye masomo ya ulinzi na usalama wanafundisha kuwa hata Matahira wanaweza kutoa accurate informations. Dudubaya ni tahira kama Matahira wengine bila kujali anatoa habari za kweli au za kubumba
1 Reactions
7 Replies
78 Views
Bohari ya Dawa (MSD) imeingiza nchini shehena ya kwanza ya Naltrexone, dawa inayotumika katika matibabu ya uraibu wa pombe, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma kwa watu wenye tatizo...
1 Reactions
8 Replies
120 Views
Ukitaka kujua wayahudi wanafikiri nini kuhusu palestina , mfuatilie mtengeneza maudhui maarufu huko tiktok Hamzah saadah, kijana wa kipalestina anaye anaishi Houston Texas US , anaefanya...
18 Reactions
227 Replies
1K Views
chocolate colour, Tumbo halina nyama nyama, Kimo cha wastani, Makebo malaini, Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha Shape hourglass, Asiwe na dharau...
3 Reactions
49 Replies
651 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Anonymous
Taasisi za Serikali, hasa TANAPA, zinapaswa kuboresha uwajibikaji katika malipo ya watu wanaowafanyia kazi. Inasikitisha kuona mtu anafanya kazi na TANAPA kwa miaka 4–5, lakini anastaafu bila...
1 Reactions
1 Replies
39 Views
Anaitwa Rough Scaled Bush Viper. Anapatikana Afrika ya Kati na Mashariki. Tanzania, DRC, Uganda na Kenya. Wahaya mmewahi muona huyu huko kwenu?
3 Reactions
25 Replies
368 Views
Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi...
2 Reactions
12 Replies
136 Views
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026. Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu...
2 Reactions
12 Replies
338 Views
Back
Top Bottom