POLISI WAMFUNGA PINGU MWANANCHI NA KUMUACHA AENDENAZO NYUMBANI.
Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Giles George Mkazi wa Wilaya ya Nkasi amelalamika kufungwa pingu na askari wawili...
Haya maisha wakuu yanamengi sana kipindi fulani sikuwa na hali nzuri kiuchumi sababu sikuwa na kibarua cha uhakika sasa katika kuwacheki wana hapa na pale jamaa yangu akanipanga kuwa kuna ofisi...
Usiyumbishwe na maneno na mitazamo Ya watu,
Kwa maana hata kwenye mti mmoja:-
🫴Mpishi ataona Kuni,
🫴Selemala ataona mbao,
🫴Mganga ataona dawa,
🫴Mpita njia ataona kivuri.
Magitaa ya bass ya zamani na ya asili yalikuwa na nyuzi nne tu (zinazolingana na sauti za E, A, D, G). Hata hivyo, mabadiliko ya kimuziki na kiteknolojia yamefanya magitaa ya nyuzi tano, sita, au...
Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa.
Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au...
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM – Vodacom M-Pesa Tanzania imetangaza ushirikiano mpya na PayPal utakaowezesha wateja kufanya miamala kwa urahisi kati ya akaunti zao za PayPal na pochi za M-Pesa...
👉 Umoja wa Mataifa (United Nations – UN) ulianzishwa rasmi tarehe 24 Oktoba 1945, baada ya kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Ulianzishwa kama jukwaa la mataifa duniani kwa ajili ya...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria.
Hatua...
Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂
Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂
Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu...
Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye...
Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi.
Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana...
Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini.
Polisi wanavunja...
Habari Wadau
Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi.
Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya...
Wakuu habari za muda huu.
Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal...
Asalaam alyekum, Wapendwa mnaye muona hapo juu amepotea tangu jana majira ya asubuhi akitokea kibaha kwenda Kimara.
Mama yetu kipenzi haongei na hasikii ukimpata mpe kalamu anaweza kuandika...
Kwanza kabisa mm cna uwezo wa kumditermine mtu anaenizidi elimu ,pesa na umri pia cjawhi lakini kwa Leo naomba niwapinge kwa hoja zangu dhaifu
Baadhi ya media na baadhi ya wasomi cjapendezwa na...
JESHI LA POLISI LAFANYA UCHUNGUZI WA TUKIO LA KIJANA ALIYEFUNGWA PINGU SIKU TATU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limeona picha mjongeo inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.