Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazee naomba kueleweshwa hii kozi ya applied informatics in industrial automation iko marketable kweli?
1 Reactions
1 Replies
21 Views
Pombe 🍺 Tumeshaona dawa kibao zikitangazwa za kuachisha mtu ulevi. Wengine wakitumia wanatapika, wanachukia pombe kwa muda, lakini wakirudi kwenye hali zao za kawaida kiu ikibana na hamu ikirudi...
2 Reactions
9 Replies
84 Views
Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake. Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan. Nawapa pole wale wote wanaomchukia...
1 Reactions
8 Replies
66 Views
MTWARA Timu ya wataalamu wa sekta ya ardhi tarehe 23 septemba 2026 ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mtwara, Bw. Frederick Mrema, imefika Mji Mwema kwa ajili ya kufanya uhakiki wa...
1 Reactions
0 Replies
20 Views
Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
MWANGA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amekagua utekelezaji wa Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo lililokuwa Shamba Na. 2...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Mabinti weupe sana Wana mashape hatari Wembamba hawana vitambi kama wale wa mbeya na Dar es salaam Wachapakazi wapole nk Hapa ni babati mjini naimani vijijini huko kuna mabinti warembo na bikra...
20 Reactions
114 Replies
2K Views
Shule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi. Ni shule ya serikali ya mchanganyiko...
5 Reactions
24 Replies
254 Views
Milupo ya mwaka 2000 sio sawa na hawa wa mwaka 2026. Wadad wenye makebo makubwa wamebadirisha maisha na ya familia yao simply kwa sababu ya makebo na shepu yao na ufundi wao kucheza mechi. Boss...
4 Reactions
20 Replies
152 Views
Wakuu Ni Vyema Na Haki ushauri wako ukajikita zaidi katika kujenga na kuboresha Familia yako. Sio sahihi kutoa ushauri kwa mtu usiyekuwa na mchango wowote ule katika uchumi wake kama hajakuomba...
17 Reactions
145 Replies
5K Views
Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
JAJI AJIUZULU: Rais John Magufuli ameridhia ombi la kujiuzulu la Jaji wa Mahakama Kuu Mwendwa Judith Malecela kuanzia leo, Ikulu yaeleza.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu...
15 Reactions
94 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini...
4 Reactions
18 Replies
229 Views
Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza...
1 Reactions
1 Replies
19 Views
NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya...
6 Reactions
467 Replies
580K Views
Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho Maana hapa naona kama...
10 Reactions
98 Replies
1K Views
Mkandarasi anayejenga Barabara hapa kipande cha ‘diversion’ kinachokarabatiwa katika Kijiji cha Uyovu Wilayani Bukombe hatutendei haki kwa kutomwaga maji angalau kupunguza vumbi. Kuna vumbi la...
0 Reactions
2 Replies
35 Views
Back
Top Bottom