Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 903
- 789
Binadamu ndiye kiumbe mwenye ujasiri wa kukusomea kwa sauti ukurasa mmoja wenye ushahidi wa aibu yako hadharani lakini hawezi kabisa kufungua kurasa nyingi zenye fedheha kwenye kitabu chake mwenyewe.