TANZANIA LEO LASEMA...
MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA
🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga
🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika
🔹Baada ya hapo, ni ujenzi...
Nasikia hali ni tete. watu wamejifungia ndani .........Mwenye taarifa kamili atufahamishe
MREJESHO: Mwanzoni ilikuwa kati ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wakamchoma mwanaume mikuki, kapelekwa...
Siku 80 tu zimebaki kabla ya wachagga kwenda kuhesabiwa huko kilimanjaro .
Tabia ya wachagga kurudi kwao kwa gharama yeyote imekuwa kivutio na inasemekana kuna makampuni ya Utali yameanza kupata...
Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti
imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na...
Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu.
C.c Kiranga
Nilipo usikiliza kwa Mara ya kwanza wimbo wa Bahati Bukuku uitwao Waraka wa Amani nilikuwa sijui sana kuhusu Biblia but nilipo tafakari kwa kina kuhusu story ya Esta, Mordecai, Hamani na mfalme...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani...
Kati ya Tanga, Mbeya, Kibaha, Morogoro na Songea; mji gani una gharama ndogo za maisha?
Haswa mzunguko wa Hela
Upatikanaji wa misosi
Utulivu
Huduma za jamii
Kwa anae jitafuta
Kuna jambo nimeambiwa na Babu mmoja mtu mzima, nikabaki nalo kichwani:
"Ukipata hata milioni moja, usijisahau mbele ya watu au wenzako."
Kweli kabisa. Maisha yanaweza kubadilika leo na kesho...
Ukila na kipofu usimshike mkono, wahenga walisema!
Zimebakia dakika chache kumaliza siku hii ya Jumamosi. Kwa wale wenzetu wanao abudu siku hii. Ndio wanamalizia Sabato yao. Kwa wasijua ni kwamba...
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza.
Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na...
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.
Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole
Msaada jamani ninahitaji.🙏
“ Yeye aliye dhaifu wa imani, mkaribisheni, walakini msimhukumu mawazo yake. ”
Rum 14:1 SUV
Tunatofautiana viwango katika imani, wapo watu wana kiwango cha juu cha imani yao, wengine hawana...
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja...
Wakuu,
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi?
Nawasilisha
Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi...
HABARI MIMI NI KIJANA NIPO DAR NI DEREVA MZOEFU NA WA MUDA MREFU. NATAFUTA KAZI YA UDEREVA WA KAMPUNI AU MTU BINAFSI/FAMILIA PIA KAMA YUPO MWENYE GARI NDOGO/ALPHARD ANAWEZA KUNIPA MKATABA/HESABU...
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?
Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?
Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama...
Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili...
1). Bluu :waliomba kukaa pembeni
2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.