Unakula wakati gani?

Unakula wakati gani?

Psalm_27

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2026
Posts
1,653
Reaction score
3,234
Hello Greate Thinker!!!
The LORD is good.....

... Familia nyingi hua naona wanapata milo mitatu kwa siku, na hii imeshakuwa kawaida hata kama watu, wamemaliza kupika cha asubuhi saa 4.

Ila saa 7 tena lazima wale, nani aliyeweka huu utaratibu.....

Sasa wakuu nyie mnakula wakati gani? ...unapohisi njaa au ni mda wa kula umefika au ni hamu tu ya kula baada ya kuona chakula hata kama umeshiba?

Kipindi niko shule weekend saa 4 tu, nahisi njaa ya hatari... ila nikiwa shule hadi saa 7 ndio nahisi njaa, na tunatoka shule saa 8.
hii imekaaje kisayansi wakuu...

Cc..... Mallerina
 
Three meals, no less no more!

Nimeacha kunywa vinywaji baridi vya kusindikwa kwa asilimia 95, so in between meals ni maji ya kunywa(kwa siku zisipungue 2L) na matunda.

Najuvunia hatua hii ya kuacha soda kwa % kubwa, nianze mapambano ya kupunguza wanga walau 50%.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom