Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo!
Hawa jamaa ukifika kwao kila...
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye...
1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani?
2: Papuchi- ni tunda au nini haswa?
3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati
4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio?
5...
Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja.
Sasa kuna msichana mmoja...
Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza...
Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote...
A) Wayahudu
Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana
Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende...
Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha...
Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa.
Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa...
Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa
limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni
kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa
na hisia, kumbukumbu na michakato
mingine ya kujifunza. Huhusika katika...
Hellow Great Thinkers!
The LORD is good!!!
wakuu, nina visolar viwili hapa 30watts na 15watts ipi... Connection nzuri kati ya series na parallel....
Kwa batter ya 18(AH)...
Karibuni sana wakuu....
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya...
Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea.
Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi...
Waandaaji wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava wamelipa faini yao pamoja na kumlipia msanii Godfrey Tumaini (Dudu Baya) faini ya shilingi milioni 3 iliyotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.