Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata.
Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga...
habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi...
Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini...
Mwaka fulani Rais wa nchi hii alikuja tembelea moja ya nchi ambazo tuna majumba yetu ya kupumzikia. Akaomba kuonana na Watu wa nchi ambao wapo huko.
Actually mimi nina Uraia wa nchi nyingi sana...
Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache...
Kupunguza msongamano mjini nashauri serikali iuze petrol lita moja tsh 5,000. Na pia serikali izingatie sana uingizaji wa magari nchini. Magari ya maana ni kuanzia CC 3000 PLUS angalau ya kuaanzia...
Unaposema wasiojulikana, ni muhimu kuweka maelezo sawa kuwa wasiojulikana kwa nani!
Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa waliowatuma!
Hawawezi kuwa wasiojulikana kwa vyombo vya dola! Vinginevyo...
Pengine ni sababu ya kutumia muda mwingi kuzunguka Duniani. Nchi mbalimbali. Leo nilikuwa naangalia Ramani sijui nchi gani sijafika... Mbinguni tu ndo bado. Nmeshazunguka karibia Dunia nzima...
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .
Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee...
Nimerudi siku chache zilizopita toka UK, nikaenda USA, nikapitia Canada, Egypt, China, Russia, Morocco na Saud Arabia kuna jamaa zangu walinialika kula sikukuu huko. Wadau hivi yale maziwa ya...
Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA...
WATANZANIA WENGI WANATATIZO LA UELEWA NA UFAHAMU(UPEO MDOGO). HII INAWAPA MWANYA WAJANJA KUWATAPELI KIRAHISI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna Jambo rahisi kama kuwapotosha Watañzania...
Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu...
Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November...
Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu...
Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa...
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga...
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani
Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba...
Nakumbuka siku hiyo nikiwa na miaka kama 12 hivi tukiwa Marekani mimi na familia yangu. Siku ilianza tu vibaya nikawa nimeamshwa na dada wa kazi saa 12:45 badala ya saa 1:00 (saa moja kamili)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.