Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.
Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.
Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na...
Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu...
Kuna muda nafikiria nakosa majibu kuhusu huu utiriri wa manabii hapa Africa, Yan Africa inaweza kuwa na manabii wengi kuliko waarabu na wahayudi, Sanasana UKo unyakikyusani wanamabii na mitume...
Kwenye events zako bora utumie smart phone kuliko camera ya kukodi kwa Sababu siku hizi kila mtu kawa content creator.
Unamualika mtu wa camera aje achukue matukio kwenye harusi yako kumbe...
Mtoto wa hayati baba wa taifa Andrew ameonekana kwenye kikao Cha chadema kilichoketi leo mitaa ya sanawari kwa ajili ya kuratibu maandamano
Nitoe Rai tu nikweli huyu bwana Ni mkorofi na jeuri...
My Take
Kama unataka pesa ni kulima ufuta na Kakao.
Pamba,Chai na Mkonge ni zilipendwa Kwa Sasa.Mwaka wa pili mfululizo Ufuta unaongoza.
Mazao 10 ya kilimo yaliyoongoza mauzo nje ya nchi:
1...
Zamani ilikua wazanzibar weliowengi wakijinasibu wao ni wazanzibar, lkn siku za hivi karibuni, wao ndo wamekua mstari wa mbele kujinasibu wao ni wa Tanzania, jambo ambalo mwanzo hawakuona kama...
Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao.
Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao...
Napatwa na hasira sana nikiona tweets za Samia na viongozi wengine wa serikali, this is not fair. Wakenya ndio waliojinasibu kudukua account, sasa una block acces to twitter kwanini? Kingine sio...
Hata vitoto vya Alfu mbili havi 'behave'..namna hiyo.... we bi.mkubwa ni vipi? wewe ni mtu mzima mwenzangu na wote kwa sasa tuna wajukuu.....
Tunayapanga fresh mambo ya ki utu uzima then unauza...
Somo letu la leo kwenye elimu za sayansi asili ya mwafrika tutajifunza elimu ya unajimu na nyota kwa kiingereza elimu hii inaitwa astrology.
Nyota ni nuru ya mtu ukuu na dira, nyota ni kama...
Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji.
Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota...
Mtu mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Derick Derick Junior (36) amefikishwa katika Mahakama ya Kinondoni akikabilia na mashtaka mawili ikiwemo kutishia kwa silaha...
Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono.
Kabla hujafanya ngono ni...
Wachawi au watu wanaotumia nguvu za asili kwa njia mbaya ya kudhuru watu huwa wakiwanga na kuingia ndani kwenye nyumba za watu wakikuta pesa hata iwe nyingi kiasi gani hawachukui kwanza wachukue...
Wale wote manotaka kujionea chopa kwa karibu hitaji lenu limepata ufumbuzi! Kwa siku 16 mfululizo chopa ya CHAUMU itakuwa hewani kuwaburudisheni nyote!
Sikumbuki tarehe, lakini ni kwa siku kumi...
Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki...
Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.