Waajiriwa wengi wa JNIA Airport wanakosa professionalism. Kuna taabia ya wafanyakazi wa Airport kuomba pesa kutoka kwa wasafiri ambayo siyo nzuri na haileti picha nzuri kwa wageni.
Kijana...
Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya...
Aya inayozungumzia hili ipo katika Surat An-Nisa (4:157–158):
"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemwua Masihi Isa mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu – hali ya kuwa hawakumwua wala...
Mbunge wa Viti Maalumu, Mwakilishi wa Wafanyakazi, Mhe. Janejelly Ntate amewashukuru wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) mkoa wa Dar kwa niaba ya TUGHE -...
Hali ni mbaya kwenye stendi hiyo yenye daladala na ofisi za mabasi yanayoenda mikoani hasa mikoa ya kusini, abiria tunaofika kwenye stendi hiyo tunakumbana na kero kubwa, daladala na mabasi kuna...
Watanzania eh!
Hakuna starehe ya kutazama picha/video za utupu, hii sio starehe ni msiba.
Acha nikutafakalishe kitu. Hivi hata wewe MTAZAMAJI ambaye unahisi unajilidhisha hisia zako, ungekuwa...
Je, hii ni sahihi ikiwa mfanyakazi yupo kwa mkataba na mkataba wake umefika ukomo na ameandika Barua ya kuacha kazi mwezi mmoja kabla ya ukomo wa mkataba wake, lakini Mwajiri Badae anasema hakuna...
Watu wengi nchini Denmark, hasa wanaoishi mijini, wanapenda sana baiskeli zao. Hufanya hivi ili kupata uhuru binafsi ambao unawapa fursa ya kuingia na kutoka kwenye msongamano wa magari mjini...
Habarini,
Kumekuwa na tabia ya madaktari hasa wa hospitali za serikali za wilaya hadi ya taifa Muhimbili kuandikia dawa wagonjwa na baadae kubadirisha na kuandika dawa nyingine huku tayari...
Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi...
Mtandao namba 1 kwa kuibua mijadala mbalimbali ulimwenguni maarufu kama X zamani ukijulikana kama Twitter ni kama umezimwa nchini Tanzania. Ukijaribu kuingia kwa njia ya kawaida unagoma mpaka...
Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha nayo ili Utimize ndoto Yako,
✒️Gerezani(uhuru)
✒️makaburini(umauti)
✒️ Hospitali(magonjwa)
Ikifikia hatua umekata Tamaa, Basi Lia sana na Mungu kwa sababu...
Askofu Gwajima kaweka wazi kabisa
1. Kuna kikundi kidogo kinachotumwa na Rais kwa manufaa yake mwenyewe ya kisiasa , kinachopelekea watu kuteswa , kuumizwa vibaya sana au hata kuuawa na kupotezwa...
ndege za kivita zinazopatikana katika nchi za Afrika Mashariki:
1. Ethiopia
Su-27 Flanker (Urusi): Ndege kuu ya kivita ya kuhimili anga. Ethiopia ndiyo nchi pekee Afrika Mashariki inayotumia...
Kama unaishi na jirani anayemtesa mtoto wake wa kumzaa au mtoto wa kambo au binti wa kazi una haki ya kumtetea mtoto anayeteswa kwa njia yoyote ikiwa ni pamoja na kuzuia utesaji, kuripoti polisi...
Alikuja na ndege yake ambayo mzee alimnunulia mwaka jana kwenye birthday yake. A private Jet. Alifika usiku nilikuwa nimeshamchukulia suit pale Serena Hotel mwezi mzima kabla ili paandaliwe vizuri...
Hivi ni kweli wachawi wanaruka usiku na ungo?
Na kama wanaruka, nani aliwahi kuthibitisha kwa macho yake? (naked eyes)
Na wanasayansi mnazungumziaje suala hili la wachawi kuruka na ungo...
Unaweza kushangaa na hata kujiuliza kwamba mtu mchawi anawezaje kupigwa kujeruhiwa na hata kuuliwa na watu wa kawaida kabisa wasio wachawi
Kuna baadhi ya mambo ni lazima uvae vazi maalum yani...
Haya ameyasema mwanae mropokaji wa hovyo kwenye mitandao ya kijamii muhoozi kainerugaba
Kwamba Baada ya Yesu hakuna kiumbe bora duniani kama Museven
Huyu jamaa ni mzima kichwani kweli? Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.