Kampeni ya ‘Chupa la Machupa’ imepelekwa rasmi Forodhani, Zanzibar, kuleta msisimko mpya katika mandhari ya eneo hili maarufu mjini Zanzibar.
Forodhani ni eneo lililopo katikati ya Mji Mkongwe...
Ukuu wa kweli hauchipuki katika maeneo ya starehe. Kesho unayoitamani ina gharama, na gharama hiyo ni leo.
Muda ndio sarafu pekee uliyo nayo, na jinsi unavyoutumia ndiyo huamua ubora wa kesho...
Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini?
Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu...
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuweka rekodi za watu waliouwa/kutekwa/kupotezwa na watu wasiojulikana/police brutality kwenye utawala wa awamu ya 5. Matukio yote yatakayowekwa yawe yametokea...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni.
Hata hivyo, amesema...
TAMKO LA MAASKOFU NA WACHUNGAJI KUTOKA MADHEHEBU MBALIMBALI JUU YA TUKIO LA ASKOFU GWAJIMA.
Sisi maaskofu na wachungaji kutoka makanisa mbalimbali tumeshtushwa na kusikitishwa kwa taarifa ya...
Fasting has been shown to result in dynamic changes in the human brain:
A recent study has uncovered striking connections between intermittent fasting, gut bacteria, and brain function...
Kwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya...
Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania...
Kipindi cha adolf alianza kuwatenganisha watu na wayahudi.
Kipindi cha idd amin alianza kudili na wasio kabira lake.
Kipindi cha mugabe alianza kuwafukuza wakulima wa kizungu.
Kipindi cha...
Kuna machawa wanambagaza Askofu Gwajima baada ya kuongelea watu kuteka na kupoteza bila wahalifu kukamatwa na kushitakiwa
Taarifa hizi zimewaudhi machawa hadi wakasema ati Gwajima harudi bungeni...
Unakuta mtu anafanya kazi au biashara Kariakoo lakini anaishi Kibaha, Bunju, Kitunda, Vikundu, Vingunguti n.k ambapo ukimuuliza anakwambia kule vyumba bei nafuu labda elfu 50k, lakini ukimshauri...
Kanda ya ziwa wanaotoka watu wenye akili nyingi kama Gwajima na katu mtu wa kanda ya ziwa katu hawezi kuwa chawa na kuendesha kijinga
Lissu alikwambia mkiuwa upinzani au CHADEMA, mtaanza...
Wadau hamjamboni nyote?
Unaanza kutoa mahari ya mke, kisha unamalizia kutoa zawadi kwa mama, kaka na ndugu wote.
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia.
Mwanzo 24:53: Kisha huyo...
It is just series from the book of Regime(Government) kwa vyovyote ni propaganda za kuondoa watu attention zao.
Watu wanapika Movies then we pay to watch it.
Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear...
Juzi niliona Clip ya Sheikh Mmoja anasema Kwa nini Viongozi wa Kikristo Wanamuandama Mama Samia tofuati na Marais waliopita ambao walikuwa wakristo.... nikacheka tu kwa namna alivyokuwa...
Kupitia Rais, Taasisi ya Rais miaka 3–4 iliyopita ilishawahi kusema kauli hii "Kuna mambo mengine tunayafanya ili kuwalinda wananchi " Kitu kama hicho kama sijakosea.
Fikilia kwamba hii dunia...
Over 3,000 years ago, the Assyrians developed a remarkably advanced underwater technique, as illustrated in this ancient relief. It shows Assyrian soldiers using goatskin bags filled with air to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.