Wakuu kwema,
Nimefungua biblia leo nime kutana na ukurasa huu moja kwa moja basi nikaona ndio ukurasa ambao nilipaswa kuusoma kwa leo na nikaona ni share
ujumbe wake ulikuwa sio wa kawaida...
Wakuu habari za muda huu 🤝
Kuna namna fulani threads za hapa JF zinavyokuwa na mambo ya taasisi mbalimbali zinazolipa vizuri Tanzania, ukizisoma unajikuta unasema, “Dah, Mungu siku moja na mimi...
Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu?
Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana...
Wakuu mimi nimezoea kuona kampuni za betting tunaweka mkeka kwa kufuata odds
Sasa hawa www.50pick.tz kwanza mnabeti ninyi kwa ninyi kwa kujibu maswali ya ndio au hapana. Mfano wanauliza ligi kuu...
Kulingana na habari nayoiskiliza hapa live kutokea mbezi-magufuli ni kwamba mabus hayatoki
Embu tujulishane wadau uko mlipo ili watu wajue altrnative
ila mbona sasa bado mnakata ticket nyie...
Wana jamii forums....
Hii itakua ina maana gani?? Ivi juzi juzi tumeona kuna safina ya nuhu imeonekana uko nchini uturuki. Na serekali ya nchi hiyo imethibitisha kwamba ni kweli ni safina ya...
Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe.
Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama...
Fursa ni nyingi mtaani, lakini ukiwa na tamaa utazikwa mapema sana
Kuna watu wanaamini kwamba maisha yamekuwa magumu kwa sababu hakuna fursa.
Lakini ukitembea mitaani, ukifuatilia biashara...
Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe.
Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia.
Mchungaji akamwambia...
Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
There is no true meaning to this...
Hello.
Kumeibuka wimbi la wadada wengi mjini Instagram kuwa na mafanikio ya haraka sana.
Umaarufu mdogo ndani ya mwaka mmoja au hata miwili unakuta tayari anamiliki gari nyumba bila kuwa na...
Hellow Great Thinkers...
The LORD is good....
Mimi kama Mzaburi nimekuwa nikijiuliza kwanini
Uzah alikufa alipolishika sanduku la BWANA....
Wakati akitaka kuliokoa baada ya kutaka kuanguka?
Kwa...
Najua umewahi kusikia kuna sehemu za mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Arusha, n.k. kuna jamii zinahusishwa kukeketa wanawake ikiwa kama sehemu ya mila na tamaduni zao.
Ila leo nataka nikujuze...
Habari za muda huu wakuu.
Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu.
Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana...
Jehoram alikuwa na miaka thelathini na mbili alipoanza kutawala; alitawala miaka minane Yerusalemu. (2 Nyakati 21:5 (NRSV)
Akakufa pasipo kupendwa na mtu yeyote. Wakamzika katika mji wa David...
*Zechariah Wakili Msomi (UDOM)*
KESI YA JAMHURI NA MWALIMU RESPICIUS PATRICK MTAZANGIRA PAMOJA NA HERIETH D/O GERALD, KWA LUGHA YA KISWAHILI (TAFSRI ISIYO RASMI)
*THE REPUBLIC*
VERSUS
*1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.