NB: Nina Akili Ndogo Sana
Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa...
Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa...
Habari wana JF
Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani.
Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye...
Tumsifu yesu kristu.
Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake...
April 28 ya mwaka 1984 Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mpaka pale Novemba 5 ya mwaka 1985 alipomaliza muda wake.
Anabakia kuwa Mzanzibar pekee kuwahi kushika madaraka...
Salamu
Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na...
TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF
Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma...
Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa.
Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view...
Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari?
Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara?
Haya bwana
Waziri...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani...
Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa...
Kuna baadhi ya ndugu zetu hawawezi kuhimili safari nzima bila kuchafua hali ya hewa kutapika safari (to vomit).
Kama unashida kama hii nakupa mambo haya utachagua utumie njia gani kujizuia...
Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje...
Ishawahi kunikuta hii
Niliwahi kudate na wadada wawili kwenye chuo kimoja
Sijui ikawaje wale wadada wakajua kuwa nadate nao wawili
Wakatengeneza group la Whatsap wakaliita 'Mume Wetu'
Siku...
Kuna ile jamaa yako anakuja ghetto na story uzipendazo, mfano, habari za Simba na Yanga au Damond na Ali Kina huku akisubiri kijanja ugali wako unausonga.
Sasa kukwepa madhila hayo jifunze kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.