Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu ! Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje Nadhani aina hii ya utajiri...
6 Reactions
77 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima...
6 Reactions
26 Replies
309 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limeanza kuchunguza picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimuonyesha askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akimshambulia dereva wa lori. Polisi...
1 Reactions
13 Replies
248 Views
Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani. Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele...
27 Reactions
256 Replies
26K Views
Kuna watu wanaamka asubuhi wakiwa hawajui leo watapata nini, lakini bado wanaamka na kutoka kutafuta. Kuna anayezunguka mjini bila kazi. Kuna anayebeba CV mfukoni kila siku. Kuna anayesubiri simu...
8 Reactions
53 Replies
431 Views
Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa. Nimefeli maisha ila sijakata tamaa. Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya...
43 Reactions
175 Replies
3K Views
★ Asema maeneo yanapoachwa kama mapori hujenga dhana kuwa hayana mwenyewe Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wawekezaji nchini kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
MADAKTARI BINGWA KCMC KUTUOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITAL YA TPC Moshi. Hospital yenye hadhi ya nyota nne inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari cha TPC,ipo katika hatua za mwisho kukamilisha...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
DODOMA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuanza kuchukua hatua za maandalizi dhidi ya athari...
0 Reactions
1 Replies
66 Views
Huu ni upendo mtu kukukumbusha jambo jema kwa faida yako . Siku za usoni aidha mafuta yatapanda bei au kupotea kabisa.
1 Reactions
7 Replies
211 Views
KUTOKA MITANDAONI KILICHOIVUTIA: TECHNOLOGY HII INAWEZA KUTIBU UPOFU WA MACHO Tuzo ya Nobel ya Tiba ya mwaka 2026 (Nobel Prize in Physiology or Medicine 2026) imetunukiwa kwa pamoja wanasayansi...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo. Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba...
3 Reactions
3 Replies
90 Views
Habari zenu wakuu heshima kwenu Kama kuna yeyote anaefahamu dawa ya jino anifahamishe tafadhari Jana usiku sijalala kwa maumivu makali ya jino
3 Reactions
26 Replies
297 Views
Nini kinawafanya Wakristo waamini dini yao ndio sahihi na sio Uislamu au dini nyingine?
3 Reactions
16 Replies
169 Views
Anonymous
Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo. Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi...
1 Reactions
7 Replies
104 Views
3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo. Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Anonymous
Wakuu, habari za muda huu. Ni lini Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine zinazohusika zitachukua hatua kuhusu hali ya malori yanayosafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda bandari kavu, maarufu...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top. Huyu mtu...
5 Reactions
33 Replies
482 Views
Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa...
17 Reactions
123 Replies
1K Views
Back
Top Bottom