Angalizo muhimu:
Huu uzi ni kwa ajili ya kupata taarifa na hauhusiani na uvunjifu wowote wa sheria za nchi.
Kama hii topic inakuzidi uelewa au huna jibu la swali lolote nililouliza hapo chini...
Kwa mtazamo wangu..! Kitendo cha kujisokonyoa sehemu za siri na kisha kunusa vidole mara nyingi husababishwa na msukumo wa kibaolojia au wa kisaikolojia.
Kwa asili, binadamu ana silika ya chini...
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) jijini Arusha imeanza kuzaa matunda kwa kuchochea mnyororo wa thamani wa kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla...
Ukingia kwenye mapenzi deep na mke wako jitahidi kuingia na moyo wako pamoja na akili zako ukiingia na moyo bila akili you end up in tears, stressed en desperate.
Huyu jamaa wetu baada ya...
Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa...
Hebu vuta picha unazaa watoto, unahangaika kumlisha, kumvisha, kumsomesha kwa takribani miaka 25 halafu mwisho wa siku mtoto huyo akishakuwa mkubwa anaondoka hapo kwako kwenda kuanzisha familia...
WOSIA WA MZEE RAMADHANI MLOWE
1. UTAMBULISHO WA MWENYE WOSIA
Mimi, Mzee Hamisi Ramadhani Mlowe, mzaliwa wa Kijiji cha Itundu, Wilaya ya Lungwa, Mkoa wa Songwe, tarehe 10 Machi 1955, naishi...
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027?
sina mengi ya kusema.
TANGA , Kamati ya Pamoja ya Ufundi kati ya Tanzania na Uganda (Joint Technical Committee) imekabidhi eneo la Chongoleani, Tanga, kwa Mshauri Mwelekezi kutoka Worley Consulting Group Limited kwa...
Utangulizi
Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi...
Wauguzi wa Zahanati ya Kazuramimba, iliyopo Wilaya ya Uvinza, wanawatoza wazazi wanaofika kwa ajili ya kuanza kliniki ya uzazi kwa mara ya kwanza kiasi cha Sh 7,000.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni...
Asilimia kubwa ya watu wanaamini kwamba (Israel) ni nchi ,hii inatokana na uvivu wa kusoma au kulishwa maneno ya uwongo .
Wanaamini Holocaust ya Hitler ndio iliwarejesha wale wahuni pale...
Tunaumaliza mwaka 2022 salama na kuuanza huu wa 2023, ni mengi yametokea ya kufurahisha, kusikitisha,
Kuhuzunisha, kukera, kushangaza nk, tumewapoteza wapendwa wetu hapa nje na ndani ya forum...
Wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara.
Eneo letu...
Ni kwa lengo la kielimu tu na kujenga awareness, si kuchochea mgawanyiko wa kidini.
Tunaweka mambo sawa tu kwasababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana mitaani
Katika mikoa 26 ya bara ongezea na...
nashindwa kuomba kazi kutokana na kikwazo Cha cheti kimojawapo kwenye account yangu ya ajira Portal.Maana Kila ninapotaka kuomba kazi nakosa sifa kutokana na cheti kimojawapo kilichopo kwenye...
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..."
Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji.
Kuna hatari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.