Exclusive JF, Pascal Mayala na mawakili wasomi wenzanko mna uthubutu huu?

Exclusive JF, Pascal Mayala na mawakili wasomi wenzanko mna uthubutu huu?

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,223
Reaction score
111,156
Screenshot_20260922_072338.jpg
Screenshot_20260922_071819.jpg
 
sijaelewa vyema kigreza, lakini nadhani mayalla akiongeza uzalendo kidogo anaweza.

Senior Zimbabwean lawyer Advocate Dr. Lewis Uriri and his wife respectfully declined a US$350,000 gift package offered by businessman Wicknell Chivayo, stating that accepting the gifts could create a perception of compromising his professional independence.
 
sijaelewa vyema kigreza, lakini nadhani mayalla akiongeza uzalendo kidogo anaweza.
Wakili mwandamizi wa Zimbabwe, Wakili Dkt. Lewis Uriri, pamoja na mke wake, walikataa kwa heshima zawadi yenye thamani ya Dola za Marekani 350,000 iliyotolewa na mfanyabiashara Wicknell Chivayo, wakieleza kuwa kuipokea zawadi hiyo kungeonekana kuhatarisha uhuru wake wa kitaaluma.
 
Mimi kwa hapo bora niamini ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuweka mdhamana kwa mtu mweusi.
 
Back
Top Bottom