Kampuni ya betting 50pick na mtindo mpya wa kubeti

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,511
Reaction score
12,444
Wakuu mimi nimezoea kuona kampuni za betting tunaweka mkeka kwa kufuata odds
Sasa hawa www.50pick.tz kwanza mnabeti ninyi kwa ninyi kwa kujibu maswali ya ndio au hapana. Mfano wanauliza ligi kuu ya nbc kutatoka adhabu ile kamati ya saa 72 ndani ya mwezi huu ,, halafu kunakuwa na ndioa au hapa ukisema ndio ukaweka pesa halafu mimi nikasema hapana nikaweka pesa baada ya tukio au muda uliowekwa ukinishinda unakuwa umekula pesa yangu na mimi nikikushinda nakuwa nimekula pesa yako.

Au swali la uchumi wanaweza kuuliza leo hisa kwenye DSE labda kampuni fulani Tembo atafunga na 3000 halafu hapo hapo kunakuwa na ndio au hapana ukisema ndio unaweka pesa na mimi nikisema hapana naweka pesa baadaya muda husika aliyeshinda anakula hela ya mwenzake. 🤣 wanaweka matukio mengi ya uchumi , utamaduni , mpaka follower za wasanii, hali ya hewa n.k

Utofauti niliouona
1. Tunabeti sisi kwa sisi
2. Matukio mengi ni yahuku tanzania so unaweza kubahatishapo
3. Kwakuwa unabeti kwa ndio au hapana kuna nafasi kubwa yakupatia japo kipigo kipo pale pale

Haya wazeee nihayo tu kumbuka kucheza kistaarabu na kufata sheria asee mengine utasoma kwenye site yao ingia google andika www.50pick.tz
 
Attachments

  • Screenshot_20261002-120835.png
    Screenshot_20261002-120835.png
    407 KB · Views: 7

Hii ni aina mpya ya ku-bet na imeingia kwa kasi duniani. Kuna makampuni makubwa kama Polymarket ndiyo michezo yao. Wanabashiri mambo mengi kama siasa, matukio nk. Hasara kubwa ya aiana hii ya betting ni kuwa hujuma ni rahisi kutokea. Kwa mfano nchini USA kuna mtu alikuwa na habari za ndani za utawala wa Trump na akazitumia kubet kwenye Polymarket kuwa ''ndiyo'' tukio litatokea. Sasa kwa Bongo mazee, hii ni hatari sana. Jnsi ambavyo watanzania hatuna uamini na madili ndiyo kazi zetu, kuna watu wengi sana watalizwa na aina hii ya kubeti. Bora ukomae kwenye michezo ya uhakika tu.
 
Duh kweli kwenye matukio yanayohusu watu kunaweza kutokea upangaji wa matokeo ,,
 
Hii ni aina mpya ya ku-bet na imeingia kwa kasi duniani. Kuna makampuni makubwa kama Polymarket ndiyo michezo yao. Wanabashiri mambo mengi kama siasa, matukio nk. Hasara kubwa ya aiana hii ya betting ni kuwa hujuma ni rahisi kutokea. Kwa mfano nchini USA kuna mtu alikuwa na habari za ndani za utawala wa Trump na akazitumia kubet kwenye Polymarket kuwa ''ndiyo'' tukio litatokea. Sasa kwa Bongo mazee, hii ni hatari sana. Jnsi ambavyo watanzania hatuna uamini na madili ndiyo kazi zetu, kuna watu wengi sana watalizwa na aina hii ya kubeti. Bora ukomae kwenye michezo ya uhakika tu.
We jamaa unaonekana unafwatilia mambo sana
 
Wakuu mimi nimezoea kuona kampuni za betting tunaweka mkeka kwa kufuata odds
Sasa hawa www.50pick.tz kwanza mnabeti ninyi kwa ninyi kwa kujibu maswali ya ndio au hapana. Mfano wanauliza ligi kuu ya nbc kutatoka adhabu ile kamati ya saa 72 ndani ya mwezi huu ,, halafu kunakuwa na ndioa au hapa ukisema ndio ukaweka pesa halafu mimi nikasema hapana nikaweka pesa baada ya tukio au muda uliowekwa ukinishinda unakuwa umekula pesa yangu na mimi nikikushinda nakuwa nimekula pesa yako.

Au swali la uchumi wanaweza kuuliza leo hisa kwenye DSE labda kampuni fulani Tembo atafunga na 3000 halafu hapo hapo kunakuwa na ndio au hapana ukisema ndio unaweka pesa na mimi nikisema hapana naweka pesa baadaya muda husika aliyeshinda anakula hela ya mwenzake. 🤣 wanaweka matukio mengi ya uchumi , utamaduni , mpaka follower za wasanii, hali ya hewa n.k

Utofauti niliouona
1. Tunabeti sisi kwa sisi
2. Matukio mengi ni yahuku tanzania so unaweza kubahatishapo
3. Kwakuwa unabeti kwa ndio au hapana kuna nafasi kubwa yakupatia japo kipigo kipo pale pale

Haya wazeee nihayo tu kumbuka kucheza kistaarabu na kufata sheria asee mengine utasoma kwenye site yao ingia google andika www.50pick.tz
Wala sio kitu kipya, jifunze trade betting mkuu.
 
Screenshot_20261003-213941.png

Watu inaonesha mnafwatilia sana mambo asee🤣 kumbe kuna Polymarket
 
Back
Top Bottom