Kwanini watu wabaya wanadumu na wema wanakufa?

Wakuu,

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi?

Nawasilisha

Si kila anayekufa mapema ni mwema, wala si kila anayeishi muda mrefu ni mbaya. Uhai si kipimo cha wema au ubaya. Kila mtu ana muda wake; cha msingi ni aina ya maisha anayoyaacha nyuma na athari alizowafanyia wengine.
 
Dunia imeumbwa kwa misingi ya uvumilivu,Hata watu wabaya wakifa woote, kuna magonjwa ya kukulaza kitandani maisha yako yoote, kuna wanyama wakali , weka majanga kama umaskini,elnino n.k . anayefaulu ni mvumilivu huku akichukua hatua stahikibila kuumiza wasio na hatia
 
Si kila anayekufa mapema ni mwema, wala si kila anayeishi muda mrefu ni mbaya. Uhai si kipimo cha wema au ubaya. Kila mtu ana muda wake; cha msingi ni aina ya maisha anayoyaacha nyuma na athari alizowafanyia wengine.
Bado point yangu iko palepale watu wa maana wanawahi kufa ile wabaya wanachelewa kufa
 
Ni kweli hisia hiyo ipo, lakini maisha hayapimwi kwa muda wa mtu kuishi. Watu wema wanaweza kuondoka mapema, ila wema wao na athari walizoacha huendelea kuishi kwenye maisha ya wengine.
 
Wakuu,

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi?

Nawasilisha
Hakuna ubaya wala uzuri bali tafsiri na upande uliposimama.
 
Wakuu,

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi?

Nawasilisha
Pengine Mungu huwaacha wabaya Ili wajifunze na kushuhudia utukufu wake
 
Back
Top Bottom