Yona unapoteza mda ,kama umetumwa time is over

Yona unapoteza mda ,kama umetumwa time is over

Robert20

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
304
Reaction score
691
Hii kauli Yako unapotosha umma .ila Kuna crip zako kibao na miamara ya Azania bank ...unachokitafta utakipata

 
Yona ameshaenda ninawi kitambo sana kuhubiri, wakuu ni zamu yetu TUTUBU na kuiamini injili...
 
Huyu na yule shekhe ubwabwa mnawapa airtime za kazi gani? Kuileta huku hiyo clip ni kuendelea kusambaza ujinga wake.
 
Propaganda ndio njia pekee iliyobakia kufanya spinning ya damu zilizomwagika!!!
Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo!
 
Back
Top Bottom