Kuhusu kukata ticket SGR

Kuhusu kukata ticket SGR

Naomba kuhuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.
Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole

Msaada jamani ninahitaji.šŸ™
Yes ila sidhani sms tu inatosha! umapaswa umtumie qr code pia na particulars ziwe za anayesafiri! Hata ku-print qr code!
 
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.

Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole

Msaada jamani ninahitaji.šŸ™
NIDA in some Yeye,maana ukiingia wanahitaji kitambulisho hicho Kuna jamaa alitumia barua ya Mtendaji kumtambulisha.
 
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC.

Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms.
Geza Ulole

Msaada jamani ninahitaji.šŸ™
Unaweza. Unaandika majina yake na namba ya simu unaweka yake.
 
Back
Top Bottom