Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania imesisitiza umuhimu wa kuzingatia misingi ya maadili, kuheshimu haki za kila mtu na kutimiza wajibu kwa ajili ya kustawisha amani. Akizungumza mbele ya...
0 Reactions
4 Replies
37 Views
Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinakutana jijini Dar es Salaam kujadili na kuweka mikakati ya kutatua changamoto na vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya, hususan...
1 Reactions
3 Replies
19 Views
Polisi wetu ni njaa Kali lakini Cha kushangaza watatumika ovyo. ,au elimu ndo changamoto .amkeni amkeni . Ukiambiwa fanya jifanye haujaona au hukuelewa Askari mzima hata nauli ya kwenda kaazini...
3 Reactions
1 Replies
40 Views
Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume...
80 Reactions
932 Replies
72K Views
Jana usiku majira ya saa sita usiku kuna kijana wa kiume umri miaka 24 ni member mgeni akiwa na posts 9 tuu, alipost akitangaza kuwa yeye ni shoga na anatafuta basha. Kwa muda mfupi kabisa post...
45 Reactions
261 Replies
40K Views
Tuandike tu kama njia ya kuhabarishana na pengine kufarijiana lakini wapangaji wa haya mambo walishatutangulia kitambo sana Waliingilia mifumo yetu na kuivuruga kabisa, wakaharibu tamaduni, mila...
21 Reactions
148 Replies
10K Views
Wafanyabiashara katika Soko la Tandika wameandamana wakilalamikia kuondolewa katika maeneo yao ya biashara, wakieleza kuwa hatua hiyo imekuwa ikiwapa changamoto na kuathiri shughuli zao za...
2 Reactions
2 Replies
59 Views
kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio...
7 Reactions
26 Replies
266 Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatoa hofu wananchi kwa kueleza kuwa huduma ya nishati ya umeme itaendelea kupatikana kama kawaida katika kipindi chote cha mvua za El Niño, kwani hakuna...
2 Reactions
11 Replies
214 Views
Habarini zaleo wana Jf naombeni msaada nikiingia huku siku hizi natatizika kweli,kitufe cha subscribe sikioni. nikitafuta kwa tabu baadhi ya uzi nilizokumsaawa nafwatilia nikikuta Episode 5...
3 Reactions
8 Replies
51 Views
𝗨𝗡𝗔𝗛𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗕𝗔𝗡𝗗𝗢?, 𝗝𝗜𝗛𝗨𝗗𝗨𝗠𝗜𝗘 👇👇👇 https://wingapro.com Steps 1.Create new Account 2.Check Available Packages & Wait for Deposit 3.Deposit via Wallet 4.Purchase a Package 5.Confirm You Have...
1 Reactions
1 Replies
30 Views
Tafadhali husika na kichwa cha uzi huu. NSSF Wamekuja na mbinu mpya zifuatazo ili kuhakikisha wanufaika hawapati hela zao: Hawajatangaza mahali popote kwamba fao la Kujitoa limerejeshwa licha ya...
16 Reactions
80 Replies
2K Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha...
0 Reactions
1 Replies
14 Views
  • Redirect
Hellow guys!!! Wakuu hii 432hz asili yake nini....... Na ina mahusiano gani katika mambo ya kiroho....... Na maana ya namba 9 katika ulimwengu wa kiroho, maana YESU alikufa saa 9, na adam...
6 Reactions
Replies
Views
Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani. Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo...
9 Reactions
18 Replies
149 Views
Historia ya Shirika la Posta Tanzania Huduma za Posta kama taasisi zilianzishwa nchini na Serikali ya kikoloni ya Ujerumani. Huduma ya kwanza ya barua iliyobandikwa stempu ilianzishwa hapa nchini...
0 Reactions
6 Replies
639 Views
Processing bottlenecks at the Tanzania Ports Authority hub have fallen from 10 days to 48 hours. This sharp speed increase applies strictly to on-site clearance, drastically cutting delays for the...
1 Reactions
2 Replies
23 Views
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo James, inachukua nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi wake, Dkt. Adam Mitangu Fimbo...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Habari zenu wakuu. Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal. Kiwango cha tozo kuingia...
3 Reactions
6 Replies
108 Views
Gen. Mike Flynn Claims US Manufactured Major Viruses Former U.S. National Security Advisor Gen. Michael Flynn has claimed that several major viruses, including HIV, monkeypox, coronavirus and...
1 Reactions
0 Replies
30 Views
Back
Top Bottom