k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,004
- 1,163
Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili...
1). Bluu :waliomba kukaa pembeni
2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo
3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa.
Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye rangi(wajichanganye)
NB:
Unalipi la kusema au kuongeza hapo mwanajamvi (Critical thinkers)