Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika elimu ya namba Tundu Lissu anahesabika kuwa na mtetemo wa namba tisa (9) namba ambayo ina misukumo ya uanaharakati, utetezi wa haki na mabadiliko ya Jamii. Mtetemo wa namba tisa (9)...
5 Reactions
13 Replies
201 Views
Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu. Kanisa Katoliki linakataza...
2 Reactions
2 Replies
27 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
30 Reactions
9K Replies
447K Views
Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli...
2 Reactions
0 Replies
23 Views
On my way to job nikajikuta tu napata mawaza haya nikiwa ndani ya dala dala,yes ndani ya daladala Wale wafuatiliaji wa ngumi maarufu Vitasa live,huwa tumeshawahi kushuhudia bondia wetu wa...
4 Reactions
19 Replies
159 Views
Kwanini wanawake wa siku wanaonekana kumpenda,kuendwkeza,kujisifia na kuabudu mambo ya Ngono?
3 Reactions
21 Replies
323 Views
Je mfano UTV,ITV,WASAFI TV,NK ni member wa jf na siku moja wakaposti taarifa moja humu kwenye jukwaa lenu je mtaunganisha uzi?
2 Reactions
3 Replies
38 Views
  • Redirect
Habari za muda huu wakuu. Nimechunguza sana nakuona watu wasio Amin Mungu na hizi dini zetu wamekua wakiona suala la ushoga na usagaji ni jambo la kawaida na ni haki ya mtu. Et ndugu zangu...
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Watu wa bara hasa Wasukuma ndio wanaoongoza kwa kuwehuka na kelele za ushoga. Huwezi kuwakuta watu wa Pwani wakiwa wanaotokwa povu au kushughuliswha sana na haya mambo ya ushoga. Watu wa Pwani...
3 Reactions
– Replies
– Views
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu. 1. Tandika Sokoni, 2. Temeke Sudani, 3. Temeke...
12 Reactions
148 Replies
19K Views
Serikali imejipanga na kujidhatiti kuhakikisha miundombinu ya majisafi na majitaka nchini inaendelea kutoa huduma kwa ufanisi kuelekea msimu wa Mvua zilizotabiriwa za El-nino kwa mujibu wa Mamlaka...
2 Reactions
3 Replies
33 Views
Tunatamani kusoma. Tukishasoma tunaanza kubeza elimu. Tunatamani kupendwa. Tukishapendwa tunawachukulia poa wanaotupenda. Tunaanza kuwapenda wasiotupenda. Tunatafuta kazi. Tukishazipata tunaanza...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
SWALI..JE KUOKOKA KUMPOKEA YESU KUMWAMINI NA KUMTUMIKIA YESU kunakufanya uwe TAJIRI na mafanikio DUNIANI? Hapana, kuokoka hakumaanishi kuwa tajiri wa kifedha au kupata mafanikio ya kimwili...
3 Reactions
19 Replies
70 Views
KWEMA SCHOOLS: Mfumo Kamili wa Kujenga Kizazi Bora cha leo na Kesho kwa Manufaa ya Taifa. Katika ulimwengu wa leo, ambapo elimu bora inahitaji kuunganishwa na huduma za kijamii na kiafya, Kwema...
7 Reactions
31 Replies
372 Views
Habarini za asubuhi wana Jamii Forum Naomba kutangaza Nyumba inauzwa Maeneo ya Fadhili Bucha Kiwanja namba 512 Kitalu C Nyumba ni Mbili kwa Moja (2 in 1) Kila upande zinafanana Sifa ya Nyumba...
1 Reactions
13 Replies
349 Views
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2...
0 Reactions
0 Replies
10 Views
Kama ilivyo ushoga, hakuna haki ya moja kwa moja ya uzinzi kwenye sheria yoyote. Hakuna sheria inayosema moja kwa moja kwamba kuna haki ya kufanya ngono au haki ya kupiga punyeto. Huwezi kwenda...
11 Reactions
178 Replies
13K Views
Back
Top Bottom