Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo sito salimia kwa mara ya pili wakuu wangu jf maana ni mada ya pili leo. Rejea mada tajwa hapo juu. Aliesema akili ndogo haiwezi endesha akili kubwa ,tumheshimu sana pamoja wenda na...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Tusiongee mengi sana lakini picha inajeleza.
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Nimemkabidhi P Diddy Kwa Yesu tangu Jana. Nimemuachia mwokozi Angie mzigoni na kuzishinda chuki za mabeberu mabaguzi na Diddy awe huru Leo. Na kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu aachiwe huru Na...
1 Reactions
10 Replies
454 Views
Mtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi...
41 Reactions
88 Replies
14K Views
Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa. Baada ya kifo, ndio mwanzo wa...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Nikiri kwamba mie kwa majukumu yangu ya kimaisha ni mtu ninayezunguka sana katika nchi hii na maeneo mengine ya Dunia ukipenda. Arusha pamoja na kuwa na sifa za madhari nzuri, muingiliano wa watu...
35 Reactions
179 Replies
14K Views
Ni kweli, maandiko haya ya biblia hupingana wazi wazi, mwenye ufafanuzi wa ushahidi katika hili jambo atusaidie tafadhali. 1 Samweli 17:50 inasema wazi kuwa Daudi ndiye aliyemuua Goliathi. Lakini...
1 Reactions
52 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Kwa nini ule vyakula vya wanyama. Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka. Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer...
10 Reactions
80 Replies
3K Views
Aisee katika pita pita zangu Leo nimemwona mmasai mbili kimo,nahisi hata wale wenye ulamavu wa ngozi wapo pia
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa. Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae...
2 Reactions
1 Replies
273 Views
Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa...
21 Reactions
92 Replies
3K Views
Wazanzibari vizuri kushukuru wakoloni waliotawala Zanzibar .Vivutio vya utalii viingiza pesa Zanzibar ni vya vya waarabu Bila waarabu kutawala Zanzibar sasa hivi Zanzibar kingekuwa kisiwa maskini...
0 Reactions
2 Replies
216 Views
Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja? Kweli Dogoli wa kufanywa Fala kwenye Jiji langu...
1 Reactions
24 Replies
953 Views
Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya...
4 Reactions
4 Replies
579 Views
NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 01/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mtoto atahiriwe at least at age 4 na kuendelea. Sio chini ya hapo Aliye upande wa kushoto ni David Reimer, na upande wa kulia ni Brenda Reimer — wote wawili ni mtu mmoja. Mwaka 1966, baada ya...
10 Reactions
115 Replies
5K Views
Wadau,salamu wote. Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER. Wengi wa hawa watia nia...
1 Reactions
9 Replies
477 Views
Back
Top Bottom