Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefanikiwa kusaidia dhamana ya waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Juni 2025 katika eneo la Ubungo...
0 Reactions
4 Replies
955 Views
Benki ya CRDB imeweka historia kwa kuorodhesha rasmi hatifungani yake ya kwanza ya kijani maarufu kama ‘Kijani Bond’ katika Soko la Hisa la Luxembourg (LuxSE). Hatua hii inaifanya Benki ya CRDB...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama. 1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu. 2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu. 3...
3 Reactions
5 Replies
329 Views
Habarini wa JF, Wazazi na ndugu wa karibu huenda walijitahidi kwa hali na mali na kujibangaiza kwa kidogo walichopata ili watoto wasome, na kweli watoto hawa walijitahidi kusoma kwa bidii mpaka...
4 Reactions
16 Replies
856 Views
Anonymous
Naomba mamlaka inayosimamia mawasiliano nchini itusadie kuzungumza na makampuni ya simu kutatua changamoto za kimawasiliano. Maana unaweza kutuma ujumbe wa maneno(sms) leo ikaonesha ujumbe...
0 Reactions
8 Replies
578 Views
Ndugu zangu tegeni masikio hapa! Katika enzi za mfalme mwenda zake! Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana! Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza! Ni...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
WAZAZI "PARENTS =PAIR RENT Katika ulimwengu mzazi ni yule aliyemleta mtoto duniani – mama na baba Hiyo ni tafsiri ya kijamii na kibiolojia. Lakini katika ulimwengu wa kiroho na hekima ya ndani...
0 Reactions
2 Replies
428 Views
nina ndugu yangu aliewahi kunidanganya vitu vingi ili ajipatie pesa kilaini kwa matatizo hewa nikiwa mbali, maana kama mnavyojua kwa utamaduni wetu watanzania ni kawaida kusaidiana hasa kifamilia...
4 Reactions
24 Replies
813 Views
Benki ya NMB leo Kuna nini?,mbona leo hakuna huduma kwenye matawi yenu?
0 Reactions
13 Replies
810 Views
Anonymous
Moja ya wilaya yenye usimamizi mbovu katika sekta ya mafuta ni Namtumbo, inaonekana ni kwa makusudi watu wameamua kuwahujumu wananchi kwa sababu mafuta yamekuwa yanapatikana kwa nadra sana na mara...
1 Reactions
7 Replies
383 Views
Wazazi wetu walitulea vyema,hata kwenye upande wa kula na kukiheshimu chakula. Walikuwa hawal uhusu watoto kuongea wakati wa kula,hili lilikuwa ni jambo jema,kiafya na nidhamu,kwani ukiongea huku...
1 Reactions
0 Replies
138 Views
Kila kazi hata kama mshahara ni laki mbili KWA mwezi yupo mtu analia maisha magumu wakati huohuo hapohapo Kuna mtu anamshukuru Mungu KWA mshahara huo na anendesha familia KWA furaha kubwa. Kuna...
5 Reactions
11 Replies
552 Views
Habari wana jukwaa! Mimi sijawahi kufuatilia kesi yoyote nchini ila nilikuwa naskia kuwa mahakama ndio chombo cha kutafsiri sheria na kutoa haki. kupitia mwenendo wa kesi ya Lissu ambae ni...
19 Reactions
16 Replies
1K Views
Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii...
4 Reactions
8 Replies
642 Views
Haya si maneno yangu. Ni maneno ya 👇👇👇
3 Reactions
80 Replies
6K Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuendesha kliniki maalum ya kibobezi ya matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya...
3 Reactions
2 Replies
317 Views
Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa...
28 Reactions
391 Replies
17K Views
Nilifahamiana na Mnyakyusa Ipinda mwishoni mwa mwaka 2021 kwenye ishu za kushirikishana fursa za biashara mtandaoni.. Hatukuwahi kuonana ana kwa ana lakini tulikuwa na mawasiliano ya karibu sana...
25 Reactions
242 Replies
13K Views
Ni dhahili tumeona sehemu nyingi hao waandishi wa Injili wa nne wana kinzana katika tukio lile lile ila ushahidi na simlizi zina tofautiana unajua kwa nini:? Kwanza, ni kwa sababu hakuna hata...
3 Reactions
16 Replies
737 Views
SOMO: AKASHIC RECORDS NA SAFARI YA ROHO KATIKA DIMENSION TOFAUTI (Somo hili linawafundisha wanafunzi kuhusu Akashic Records, jinsi ya kuzifikia, na mchakato wa safari ya roho katika viwango...
2 Reactions
92 Replies
4K Views
Back
Top Bottom