"Waliotafuta majukwa mengine nawapongeza lakini mimi ni mmoja ya wabunge hawa wanaoitwa 'Covid 19' niliyeandika barua ya kuomba kurudi kwenye chama kwahiyo bado naamini CHADEMA ndiyo jukwaa sahihi...
Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama...
Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita...
Hawa mabinti ni marafiki hawana
Iko hivi
1. Halima alikuwa chadema inasemekana akamshawishi Esta aliyekuwa CCM naye akahamia chadema
2 Safari ya kuitwa COVID 19
Ndugai alivotaka uwakilishi wa...
Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na...
Safina ya Nuhu ni moja kati ya habari maarufu zilizoandikwa kwenye Biblia na zinazochunguzwa sana na wanasayansi. Sasa baada ya karne nyingi za mijadala, kejeli, na mashaka, matokeo mapya ya...
Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika...
Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto.
Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya...
UKAGUZI WA VYETI VYA UDEREVA ARUSHA NI KERO!
Kumezuka utaratibu wa ukaguzi wa madaraja E na C ambapo walio na madaraja hayo wanasumbuliwa hata wasipokuwa wanaendesha chombo husika (kwa mujibu wa...
Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa
Ahsante.
Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025...
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (mshahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozidi 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba. Hivi niulize, utajenga...
Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka...
Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.