Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wakaoga mamikojoo weee🤣🤣, sijui huko wanaendeleaje Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
3 Reactions
6 Replies
426 Views
Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...! Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Niliwahi kuandika juu ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro kukamata basi la kampuni ya Extra Luxury Coach likiwa na shehena ya dawa za kulevya iana ya mirungi ikisafrishwa kutoka mkoani Arusha...
1 Reactions
10 Replies
961 Views
Nilishtuka baada ya Kila mtu kuniambia nimenenepa sana, ikabidi niende kupima uzito, sukari, pressure n.k Kwasababu nilikua nikitembea kidogo nachoka, na mapigo ya moyo yanadunda kwelikweli...
30 Reactions
70 Replies
3K Views
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Hili dude sio kahuna namna ya kutuhabarisha kama kuna tatizo zaidi ya kutishana USSR
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Mkurugenzi mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack Dausen anatukumbusha umuhimu wa kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo ndani na nje ya mtandao kwani kutatuwezesha kufanya Maamuzi Sahihi kutokana na...
2 Reactions
4 Replies
325 Views
Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza. Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali. Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana. Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi. Rekebisheni...
1 Reactions
13 Replies
740 Views
“JWTZ hupokea amri toka kwa Amri Jeshi Mkuu na si vinginevyo. JWTZ ni Chombo mahususi kwa shughuli mahususi, tuendelee kuliamini, kulipa uhuru na kuliwezesha kutekeleza majukumu yake bila...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini jamani... Ni wiki sasa tuko nilivyoingia kwenye mfumo na kumoongeza mtegemezi kwenye mfumo wa NHIF( ambaye ni mwanangu). Nakajaribu kusoma status nikaona ni "APPROVED" ila kibaya zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa vitendo Pongezi hizo zimetolewa jana...
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Bajeti Kuu ya Mwaka 2025/26 imesomwa. Bei ya gesi inaendelea kushuka, jambo linaloashiria mwelekeo chanya wa nishati safi. Kwa kuzingatia azma yetu ya kulinda na kuhifadhi mazingira, napendekeza...
1 Reactions
17 Replies
784 Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Oliver ni nani? Oliver ni yupi ? Oliver wa wapi? Hivi kwanini Oliver?. Ni maswali ambayo watu wanajiuliza wakati mwingine wanajijibu wenyewe huenda wakakosea au...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu ====== kuna watu wana roho mbaya sana imagine unamwua malaika kuna dhambi hazina msamaha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Zuhura Juma Matengo kwa tuhuma za kumuua...
0 Reactions
4 Replies
349 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo...
46 Reactions
665 Replies
25K Views
SERENGETI, ZANZIBAR, KILIMANJARO MIONGONI MWA WASHINDI WAKUU WA TANZANIA KATIKA TUZO ZA SAFARI ZA DUNIA ZA MWAKA 2025 DAR ES SALAAM, Juni 29 (Xinhua) – Tanzania imeibuka kuwa lulu ya utalii...
1 Reactions
9 Replies
723 Views
Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi Nilijenga vilinge majini...
65 Reactions
388 Replies
81K Views
Kwanini 99% ya Watu ambao Wanachukiwa pasipo sababu ya Msingi kuanzia katika Familia na Jamii ndiyo Mwenyezi Mungu huwabariki na kuwainua Kimaisha? GENTAMYCINE katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Vijana hata watu wazima wengi bado wanaimini kuna kazi au pesa rahisi unaweza pata kupitia simu yako au kuwa online. Chini ya hili jua hamna pesa rahisi. Pesa halali ni ile ya kuitolea jasho...
3 Reactions
16 Replies
890 Views
Mimi ni mkazi wa Tanga. Nilikuwa na nafasi ya juu kazini, hususa daktari wa kampuni yetu, na niliaminika na kufanya kazi kwa bidii sana. Tatizo ni kwamba bosi wangu ni mtu ambae anapenda sana...
28 Reactions
124 Replies
4K Views
Back
Top Bottom