Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,844
- 7,521
Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo
Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai
CHIPS MAYAI INAJUMUISHA VIAZI AMBAVYO NI CARBOHYDRATES NA MAYAI AMBAYO YANA PROTEIN, MTU ALIYEKULA CHIPS MAYAI HANA TOFAUTI NA ALIYEKULA UGALI MAHARAGE
Mfano chips mayai ipikwe kwenye flampeni kubwa na ichanganywe na vitu kama nyama na mboga za majani
Kwanini nasema hivi vyakula mfano wa chips mayai vikiwekewa standard vinaweza itangaza Tanzania na vikavutia watu mfano capuchino na Italian pizza vimechangia kuitangaza sana nchi yao
CHANGAMOTO KUBWA YA TANZANIA MTU ANAONA UGALI ULIVYOKUWA MGUMU BASI ANAAMINI NDO CHAKULA CHENYE NGUVU NI CHANGAMOTO SANA