Nakumbuka nyuma ya duka la Widambe palikuwa na mtaa unaitwa mtaa wa Dhambi ( Dhambi st) ambao ulisheheni vilabu na bar
Jamani huu mtaa bado upo?
Kamwene!
Hebu image kila siku unaamka asubuhi unaenda mihangaikoni, kibaruani au kazini. Siku nzima upo tu unashinda hapohapo morning mpaka night, jioni unarudi zako maskani(home)
Wikiendi nayo ukisema...
Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto.
Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti...
Deni la Taifa limekua sana na kila mtu analalamika kivyake lengo la uzi sio kutupia lawama sehemu yeyote ile bali kuja na siluhisho
Mimi nina mpango wa kuwa Rais wa Tanzania zifuatazo ni njia...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura leo Jumanne, Julai 1, 2025, amewavisha vyeo vya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)...
Hospital kuu ya nchini Uingereza imetoa taarifa ya kushtukiza kuhusu kifo cha mgonjwa aliyekufa baada ya kutokea shambulio la kimtandao kupitia kompyuta.
Ni moja wapo ya shambulio lililotokea...
NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JUNI 28/2025:
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
jumamos hii ni nzuri kwako ingawa una ahadi nyingi una ahidiwa ambazo hazitekelezeki nivyema ukatafuta njia au ufumbuzi...
Hii nchi inaendelea kushangaza dunia baada ya kuwapa kazi wakandarasi wa ndani na kuwatelekeza bila kuwalipa huku machawa na watu wanaosifia viongozi wakimwagiwa pesa za kutosha ili waendelee na...
Sikiliza rafiki yangu kwa makini sana, naomba nikuambie kitu cha muhimu kuliko vyote duniani. Maisha haya tunayoishi ni mafupi mno, ni kama mvuke unaojitokeza kwa muda mfupi halafu unatoweka. Watu...
Leo tarehe 1 July 2025 katika mahakama ya mwanzo mkoani iringa, taasisi husika kupitia katibu mkuu wake imefunguliwa kesi ya madai ya shilingi 2,340,000.
Kesi hii itatajwa kwa mala ya kwanza...
Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine...
Habari za jioni wapendwa,
Huu ni ushauri wa bure kwa wale (waliokwisha chukua & wanaotarajia kuchukua fomu na kuzirudisha).
1. Andaa "press conference" Moja matata sana nyumbani kwako chinja...
Bodaboda ni jeneza linalotembea barabarani.
Japo wanasiasa wanawapa majina ya kuwamotisha -MAAFISA USAFIRISHAJI- Muda wowote watu wanaweka turubai tayari kwa mazishi.
#Tuchukue tahadhari#...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No...
Manispaa ya kahama, ofisi ya vizazi na vifo kuna changamoto kubwa ya foleni, kwani unaweza kutumia siku mzima kupata huduma!
Nashauri mamlaka husika kuongeza watendaji, kwani kuna mtoa huduma...
Majini yana Mola na Mlezi wao ambaye hawataki ashirikishwe na yeyote yule. Maana yeye ndo mola wao. Ni nani?
Tega Sikio. Tunayauliza muda si mrefu yatajibu.
Kuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda .
Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni...
Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija
Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na...
(Kwa masomo yenye kujenga na Nyimbo nzuri sikiliza hapa Jesus News Radio
Sehemu ya Mwisho ya somo letu kutambua Kusudi lako
1. Kuishi Bila Mwelekeo
Mmoja wa madhara makubwa ya kutotambua kusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.