Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipo usikiliza kwa Mara ya kwanza wimbo wa Bahati Bukuku uitwao Waraka wa Amani nilikuwa sijui sana kuhusu Biblia but nilipo tafakari kwa kina kuhusu story ya Esta, Mordecai, Hamani na mfalme...
17 Reactions
82 Replies
866 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani...
2 Reactions
6 Replies
57 Views
Kati ya Tanga, Mbeya, Kibaha, Morogoro na Songea; mji gani una gharama ndogo za maisha? Haswa mzunguko wa Hela Upatikanaji wa misosi Utulivu Huduma za jamii Kwa anae jitafuta
3 Reactions
140 Replies
5K Views
Kuna jambo nimeambiwa na Babu mmoja mtu mzima, nikabaki nalo kichwani: "Ukipata hata milioni moja, usijisahau mbele ya watu au wenzako." Kweli kabisa. Maisha yanaweza kubadilika leo na kesho...
5 Reactions
6 Replies
103 Views
Ukila na kipofu usimshike mkono, wahenga walisema! Zimebakia dakika chache kumaliza siku hii ya Jumamosi. Kwa wale wenzetu wanao abudu siku hii. Ndio wanamalizia Sabato yao. Kwa wasijua ni kwamba...
4 Reactions
66 Replies
10K Views
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza. Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na...
43 Reactions
167 Replies
5K Views
Naomba kuuuliza ninaweza kumkatia mtu mwingine ticket ya SGR kwenye account yangu mimi ya TRC. Kisha yeye namtumia sms ya ticket akienda anaonyesha tuu sms. Geza Ulole Msaada jamani ninahitaji.🙏
3 Reactions
10 Replies
86 Views
“ Yeye aliye dhaifu wa imani, mkaribisheni, walakini msimhukumu mawazo yake. ” Rum 14:1 SUV Tunatofautiana viwango katika imani, wapo watu wana kiwango cha juu cha imani yao, wengine hawana...
1 Reactions
4 Replies
38 Views
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja...
194 Reactions
29K Replies
3M Views
Wakuu, Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watu wabaya wanaotesa watu wanaobakaza raia kwanini huishi muda mwingi na hata ukiwaombea mabaya wanaendelea kuishi na kustawi? Nawasilisha
6 Reactions
17 Replies
122 Views
Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi...
3 Reactions
15 Replies
146 Views
HABARI MIMI NI KIJANA NIPO DAR NI DEREVA MZOEFU NA WA MUDA MREFU. NATAFUTA KAZI YA UDEREVA WA KAMPUNI AU MTU BINAFSI/FAMILIA PIA KAMA YUPO MWENYE GARI NDOGO/ALPHARD ANAWEZA KUNIPA MKATABA/HESABU...
1 Reactions
2 Replies
26 Views
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea? Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi? Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama...
7 Reactions
43 Replies
285 Views
Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili... 1). Bluu :waliomba kukaa pembeni 2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado...
8 Reactions
21 Replies
493 Views
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka...
22 Reactions
87 Replies
1K Views
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri.. Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata, Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama...
13 Reactions
108 Replies
889 Views
Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi...
6 Reactions
25 Replies
655 Views
  • Redirect
𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗘 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗦𝗛𝗜𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢, 𝗨𝗙𝗨𝗚𝗔𝗝𝗜 - 𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗡𝗖𝗛𝗘𝗠𝗕𝗔 ▪️𝗔𝘀𝗲𝗺𝗮 𝘂𝘄𝗲𝗸𝗲𝘇𝗮𝗷𝗶 𝗻𝗶 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗶𝗹𝗶 𝗔𝗳𝘆𝗮 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗶𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝘄𝗲 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗴𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗶𝗶 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema...
0 Reactions
Replies
Views
Asema uwekezaji ni lazima ili Afya Moja ifanikiwe katika ngazi ya jamii WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema takribani theluthi mbili ya wanawake walioajiriwa katika nchi zilizo Kusini mwa...
1 Reactions
2 Replies
22 Views
  • Redirect
Kiufupi watu wanaomshambulia Dudu Baya kisa anawasema mashoga hawana akili au nao wanapenda mambo ya kishoga au nao ni mashoga au wakipata mtu wa kuwapiga wako tayar kupigwa. Vipi mwanaume...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom