Rahma Kisuo na Wanu waliwezaje kuwa Mawaziri?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
63,621
Reaction score
107,635
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.

Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!

View attachment 3674237
Kwa wnu ni sawa na kule kwa kagame au museveni. Huyo mwingine sijui
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.

Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!
View attachment 3674237
Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii.

Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto.

Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi.

Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, Ni kweli kwa ujumla uwaziri nchini kwetu kwa sehemu kubwa huwa ni lazima uwe chawa wa Rais na chama badala ya merits lakini kuna nyakati waziri anakuwa duni mpaka inakuwa ni vituko vya kusikitisha katika nchi.

Mtu kama huyu bonge nyanya Rahma Kisuo ambaye kichwani ni mtupu kabisa amewezaje kuwa mbunge na naibu waziri?! Maajabu hayaishi Tanzania!
View attachment 3674237
The mighty power of pussy
 
Uongozi wa Tanzania chini ya CCM haikuhitaji kuwa na weledi mkubwa ama uwezo mkubwa wa akili na kuchanganua mambo bali kuwepo na watu wa kukubeba na kukuweka kwenye mfumo....

Kiongozi wa nchi hii ana uwezo wa kumtoa mwanae MILEMBE na akampa uteuzi na kuwa kiongozi wa umma!!!
 
Watanzania wenzangu ngoja niwakumbushe ukweli ambao nadhani kila mtu anaujua: Viongozi wa nchi ni reflection ya ya wananchi. Na hapa sizungumzii tu kuwa ''kwa kuwa viongozi wanatoka kwenye jamii, basi ni ''sample'' ya jamii. Hoja yangu ni hii. Viongozi wa nchi utendaji wao wa kila siku ''hutengenezwa'' na tabia ya wananchi. Yaani viongozi wakifanya boko na wananchi wakikubali na kukaa kimya, basi hujijenga na kuwa tabia ya viongozi wote. NI kama ule msemo usemao kuwa ''ukali wa mbwa, hutegemea msasi (mwindaji). Mwidaji akiwa moto, na mbwa wake nao wanakuwa moto. Sasa tatizo letu watanzania nikudhani kuwa viongozi wazuri hushuka kutoka mbinguni. Yes, unaweza kupata bahati ya kuwa na kiongozi mmoja au wawili wazuri, lakini kanuni ni kwamba tabia na utendaji wa viongozi hutegemea sana ''ukali'' wa wananchi. Msidhani nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa sababu tu Mungu aliwashushia viongozi hodari hapana. Maendeleo na uongozi bora ulitokana na wananchi kujitambua na kuwa wakali na tayari kuhoji pale viongozi wanapoharibu.
Kuwa mkali, uhoji, uishie kutekwa...
 
Uliyosema yote ni sahihi ila tuko katika zama za State Capture. Ni aidha uchague kupotezwa familia yako usiione milele daima ama uchague kukaa kimya.

Watu wameamua kuchagua fungu jema nalo ni kukaa kimya. Haimaanishi kwamba hawaumizwi na maovu yanayofanywa na viongozi ila sasa kama kufungua mdomo kunaweza kugharimu maisha yako unafanyaje? Jeshi la polisi limechagua kusaliti wananchi halikadhalika jeshi la baka baka. Hao wote walitakiwa wahakikishe utulivu na amani nchini na sheria kufuatwa ila wamejizima data.
 
Uongozi wa Tanzania chini ya CCM haikuhitaji kuwa na weledi mkubwa ama uwezo mkubwa wa akili na kuchanganua mambo bali kuwepo na watu wa kukubeba na kukuweka kwenye mfumo....

Kiongozi wa nchi hii ana uwezo wa kumtoa mwanae MILEMBE na akampa uteuzi na kuwa kiongozi wa umma!!!
Nafasi za kisiasa zimekuwa ni sehemu ya kulipana fadhila kwa kugawana vyeo. Yani ukishakuwa na shangazi au mjomba kwenye mfumo basi kukosa kipande cha keki ni uzembe wako tu.
 
Back
Top Bottom